Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 964
- 2,675
Waswahili wanasema kuzaa sio kupata kweli nimeamini.
Kuna binti wa ndugu yangu mmoja huko Kilimanjaro mtoto wake wa kike amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni ila kwa bahati mbaya akiwa anafutilia mambo yake ya kazi akapatwa na hali ya kuchanganyikiwa ghafla maana hakuwa anapatikana kwenye simu karibu siku tatu sasa mjomba mtu kwakuwa nina gari nikatumwa kwenda kumtazama kama yupo sawa huko alikopanga.
Yaani niliyoyakuta hapo kwenye nyumba anapoishi kwa huyo mtoto wa kike nilishangaa sana, kuna mizinga ya pombe kali imetapakaa kwenye masofa amelewa sana na mezani kuna vipisi vingi vya marijuana amejikojolea hajitambui ikabidi mjomba mtu kwakuwa nina mwili mkubwa nikambeba kama alivyo na kumuwahisha hospitali wameanza kumpa medication ila daktari naona anashauri aende sober akitoka hapa.
Mama mtu nampa taarifa amechanganyikiwa anajiuliza inawezekanaje mtoto wa kike kuvuta bangi na ikiwa tayari amesomea udaktari tena kwa level ya juu sana na amefaulu vizuri, hii inaweza kuwa ni mapepo au msongo wa mawazo?
Msaada ili tumshauri mama yake