Kilahunja
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 1,500
- 343
- Thread starter
- #141
mgeni njoo mwenyeji apone
siku hizi vijana wanapenda mauno kama kakutana na machine ya mtwara inakata kama feni unadhani atakumbuka hiyo misaada yako tena! we angalia wapi umechemka halafu paweke vizuri ili ajaye huyo bwana Ngosha nae asikimbie....
i did my best..kama hakutak hakutak 2, haka ukimchezea sebene.