Ameniacha, i want to forget him.

Ameniacha, i want to forget him.

mgeni njoo mwenyeji apone

siku hizi vijana wanapenda mauno kama kakutana na machine ya mtwara inakata kama feni unadhani atakumbuka hiyo misaada yako tena! we angalia wapi umechemka halafu paweke vizuri ili ajaye huyo bwana Ngosha nae asikimbie....

i did my best..kama hakutak hakutak 2, haka ukimchezea sebene.
 
Pole sana Kilahunja, lakini normally, we meet with bad people first so that when we meet with good one in the later, we can be thankful....! So, that man is the bad one to you so that when you find the good one you can be thankful. Lakini naomba unisaidie nini maana ya "hunja"?

"hunja" naitwa kilahunja t is my native name sijui kama lina maana.
 
Hv kuna watu mnafikiria true love tuu..na eti I dnt cheat..n he/she doesn't chaet..mnajidanganya sana..

i tokd on my side(ts tru i neva cheated)...kwa yeye anafahamu mwenyewe.
 
Bad enough i neva even ax him for voucher or single money, instead i some times gv him money coz he is livin normal life(teacher)

Buyin him diffrent outfits so as he luks also gud like other men.
Loving him as honestly as ever that is what i did, BUT NOW HE WANTS ME NO MORE.
pole sana mpenzi, maybe aliona we dem wa kuhonga so akahc unaweza kuhonga wengine kama ulivyokuwa unafanya ww,ujue wanaume wengine ukiwahonga wanafikiria meng ukiachana na wale waliozoea kuhongwa.......achana nae baana kwan yy kitu gan,angekuwa ndo pumzi yako labda...
 
ow yees, "kisicho rizki, hakiliki"..advice teiken!
 
pole ma dia tafuta huu wimbo FIGHTER-CHRISTINA AGuilerautakusaidia ukukae kichwan he is gonna make ua fighter im telling u
 
ati c ushukuru kajiuzulu mwenyewe coz hakudeserve penzi lako la dhati...... shits happen dr..wewe ndy wa kwanza hata usihofu tht s alot to come..happness n sadness, relationship is a business risky. usihof utamsahau tuu,it takes time kama vile ulivyofall kwake.
 
oh dear pole sana,bt 4get abt him,ata mm yalinikuta hayo bt jaribu kumsahau,kwanza futa no yk ya simu then jikep kuwa bizz.So natumai utampata aliye bora zaidi yake.
 
i am gvn my self a break..am confused!

Dont get confused. You are your own center of this life!! You are probably the most important creation in this world!! You are much better without him than you think!!

Move on and start anew!! This is beautiful life out there waiting for you!
 
am truly inspired, thanx darling!
 
oh dear pole sana,bt 4get abt him,ata mm yalinikuta hayo bt jaribu kumsahau,kwanza futa no yk ya simu then jikep kuwa bizz.So natumai utampata aliye bora zaidi yake.

am sure withn a wik al get rid ov him, besides we didnt av so much gud moment to remind me ov im.
 
ati c ushukuru kajiuzulu mwenyewe coz hakudeserve penzi lako la dhati...... shits happen dr..wewe ndy wa kwanza hata usihofu tht s alot to come..happness n sadness, relationship is a business risky. usihof utamsahau tuu,it takes time kama vile ulivyofall kwake.

thanx babes!
 
Smile usimdanganye mtoto wa watu, ushuani atalizwa kila siku as watoto wakishua wanachezea feelings za girls the same way they play with playstations and xbox during their childhood, nasikia upendo wa ukweli uko kwa waliochoka

Kotekote ni pata potea mkuu, tena waliochoka ndo wanajifanya kupenda kumbe anataka kusaidiwa matatizo yake tu
 
am sure withn a wik al get rid ov him, besides we didnt av so much gud moment to remind me ov im.

So it was a wrong choice straight away! we shukuru tu kama baadhi wanavyokushauri
 
Duuh umeachwa halafu you talk gud about the guy, wanaume ni wasanii...amepata alichokitaka amesepa. Lazima ujifunze to see the sign, ushawahi kuona wapi mwanaume akitongoza anakuwa hana ustaarabu au hayuko honest........

Ila MadameX nilichojifunza ni kwamba mengi tunayoongea humu JF yanaishia hapa hapa, ni wachache sana wanayozingatia. Sasa ona huyu dada inaonekana ni wa muda mrefu tu humu ndani lakini yet hajui mapenzi feki na real yakoje (hapo kwa red).

Binafsi nilitegemea MMU iwe msaada mkubwa kwa wadau hasa wadada kwani wengi wao wanaishia kuwa victims of broken relationships, sa ona huyu maskini!!
 
Pole sana dada,vumilia utampata anae kufaa,cha msingi jaribu kueliminate vtu ambavyo vinasababisha umkumbuke eg cell no,msg tamu alizokuwa amekutumia na umezisave,kama kuna snaps do away with them.badilisha joint,kama mlikuwa mnapenda kwenda pub au hotel flan kujivinjari japo ka dinner,then you should thinks otherwise.kale ka cd kenye wimbo ambao ukiusikia unamkumbuka kavunje tu kwani cd nini bana.kwa ujumla do away with any thing you think will make you think abt him.
 
Back
Top Bottom