Ameniambia haoni siku zake, naomba ushauri tafadhali

Huwa kulea wanawake wanachukulia simple simple sana.. mimo huyu wa kwangu nilimwambia kwamba siwez ishi na wewe kwa sasa bado maisha yangu hayajakaa sawa...ananijibu tuishi hvyohvyo tutajipanga taratibu taratibu[emoji53][emoji53][emoji53]
Hahahaha hio kujipanga sasa jiandae na kero na lawama tu 😂😂😂 utajuta kuishi na mwanamke ukiwa huna hela
 
Mwamba naona kina dada wanakushambulia sana kwa maneno makali cha msingi tuliza akili usi panic huwezi jua baraka za kiumbe huyo aliye tumboni mwenyezi mungu atakubariki na kukunyooshea maisha yako kupitia ujio wa mtoto huyo jenga imani hiyo
Utakuja nishukuru baadae mkuu
 
Usiwe na wasiwasi hana mimba ila siku zimevariate kidogo.
 
Vijana ukiwaambia hivi hawaelewi, bora nyie wanaume wenzao muwaeleweshe ; Tena kuna mtu ana pull out halafu akishamaliza kumwaga anaingizia tena anaenda dk2 ndo anaacha
unategemea mimba isipatikane jamani???
We ulishuhudia wapi mtu akifanya hivyo? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Kinachoniumiza na kunitatza ni kwamba...We all proved kwamba alikuwa SAFE......
 
Leo nimemuuliz anasema dalili za period zote anazo kasoro d*mu tu haioni
 
Kubali tu matokeo na ujipange kuwa Baba, usiache kuleta mrejesho.
 
Mbona kundi la mimba zisizotarajiwa linaongezeka kwa kasi hivi 😥....tumieni kinga jamani sio kujikinga na mimba tu hata magonjwa mengine ya zinaa!!Kumwaga nje sio suluhu mbegu nyingine zinaweza jipenyeza au unamwaga ndani kidogo kabla nje ufff 🥴
 
Clinic mara ya kwanza wanaenda wote ,kuna vipimo wanapima wote kwa ujumla n vizuri aende na yeye
 
M
Mbegu za kiume zinaweza bakia hai kwenye utupu wa mwanamke for 3 days sahau habari ya dk 10, Ulipomaliza mshindo wa kwanza bado kwenye njia zilibakia mbegu zilikuwa hai, Hivyo mlivyopiga kavu mzunguko wa pili zile mbegu zitakuwa zilitangulia kuingia bila ridhaa yako
 
Duh unaishi kwa Baba yako na bado unakulana bila kondomu wewe mtoto unaakili kweli wewe?
 
Kwa hiyo profile picture hapo ww anza kuuliza unga wa ulezi unapatikana wap
 
Subiri jifungue mkapime DNA. Kama una kipato na ni mpenzi wako na mlikwichikwichi kweli basi sio rahisi kuruka hicho kihunzi we lea tu mkuu.

Akizaliwa ndo mtajua kama ni wako ama lah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…