Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe

Unataka ujenge nyumba kwenye kiwanja si chako?
 
Dah! Sasa naanza kuamini na kuelewa ni kwanini yule jamaa mwanaume anataka kuwa mwanamke shida inaanzia hapo..!


Hivi humu matusi makali yanaruhusiwa tutukane ili nafsi ikae sawa maana mtoa mada anatukera sana sisi wanaume?
 
Wote mmekutana akili zinaendana,nenda gym upate hips mfanane
 
Wewe ni shoga, usioe, olewa
 
Wewe nakushauri tena kwa mara ya pili achana na huyo mwanamke kwa usalama wako. Kama hutaki huu ushauri baadaye usije kurudi humu na kusema unatamani kujiua. Huyo uliyemsaidia kibiashara chunguza vizuri anaweza asiwe kaka yake akawa baba wa huyo mtoto unayeambiwa umlee, au binamu kinyama hamu kama ni ndugu yake. Mwanamke hakupendi huyo na amekuonesha kila ishara hakupendi wewe unakuwa king'ang'anizi hadi unaingia gharama. Anaishia kukupa maaharti yasiyo na kichwa wala miguu unapoweka nia yako.

Tafuta mwanamke mwingine na uoe wapo wengi sana hao viumbe, huyo utakuja kuumia mara elfu yake. Usilazimishe mapenzi usipopendwa
 
Yaani mwanamke ndio anakupa wewe masharti ya kukuoa?? Ukikubali basi hamna mie hapo, pia utakua mwanaume suruali... hakupendi huyo... ngumu kumesa ila ndio ukweli..
 
La kwenda gym nasupport maana kakwambia ukweli aina ya mwanaume anayemvutia. Hata sisi tuna macho jamani kama ninyi, lakini pia ni kwa afya yako.

Taabu kubwa naiona kwako, inshort huyo binti anakumudu. Kuwa mwanaume basi, fanya maamuzi yako mwenyewe ili kesho usiwe na wa kumlaumu.
 
Bro ukiona wanaume wenzio wanakupa maneno makali maanake wanakuambia ufikirie km mwanaume basi. Maana ushayakanyaga vibaya kama hiyo stori ni kweli.
 
Kwani umelogwa Ili uishi nae. Unasumbuliwa na uteja wa mapenzi. Hakuna mapenzi hapo ushageuzwa mgodi. Hio six pack ikifika miaka 50 inapote, ndoa ujengwa na kitu cha kudumu na sio muonekano wa nje.
Kama umeamua kununua mboga ya jana kwann uhangike na ladha.
Zibuka masikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…