Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe

Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe

Hata wewe napata mashaka sana na maswali yako ya siyo na kichwa Wala miguu, Nani kakudanganya jf ni sehemu ya kukushauri nakati mlipokuwa mnapeana utamu mlikuwa mnatuona malofa ambao hatujaowa. Kamwombe ushauri baba ako bwege we
 
Sasa wewe kichwani kungekuwa na kitu ungeomba ushauri wa mambo ya bed room. Tuache tuko zaidi huko kwa Uhuru Kenyatta
 
Mkuu, kama umefanikiwa kuonja K yake, ikakunogea, oa. Mengine ni story za vijiweni tu... Mtt atapelekwa kwa bibi au boarding akalelewe huko.
 
Kwema wakuu?

Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu.

Na kwawakati uo tulikua nimarafiki yaani best friends. Nilikuwa nalipa transport bills zake, kodi japo mara moja moja, kumtoa out na rafiki zake ikwemo cousins zake, kumnunulia vitu mbali mbali n.k

Achilia ile M1 ya kwake pekee, nilishamlipia mpaka bro wake ela tra kwenye issue za biashara zake.

Sasa mpaka mwezi wa kumi mwakajana nikaamua kumuambia ukweli nampenda na ukizingatia tulikuwa karibu, ajabu aliniruka mita 100 na kusema mimi ni kama kaka yake tu na haitotokea kamwe anivulie nguo.

Moyo ulizima kwa dk kadhaa, akili iliruka kwa dk kadhaa. Sikuamini kabisa.

Nikamuambia anyaways naheshimu mtazamo wako. Nikaomba tuendelee kua marafiki akasema yes. Sasa mwaka huu mwezi wa pili nikagusia tena suala langu.

Safari hii hakuonesha upinzani sana, akaniambia yeye anapenda mwanaume mwenye kifua kipana na mrefu.

Mimi ni mrefu ila sina kifua kipana sana so nikaanza kwenda gym.

Hapa juzi tu nimegundua ana mtoto mmoja tena mkubwa tu kidogo. Tukaongea sana kwa sms na nikamsema sana, ajabu ananiambia nikimuoa basi ni sharti nikae na kulea mwanawe.

Nikakubali na hapa nipo katikati natengenzeza mwili.

Shida ni mtoto wake, yeye nampenda ila mtoto wake hana adabu na nilikua namuona kwa baadhi ya ndugu zake kabla ya kujua kua niwake.

Nipo dilema kabisa hapa. Hivi hakuna njia naeza tumia nikaishi na mke wangu pasipo kuishi na mtoto wake huyu?

Nalileta kwenu wakuu wangu
Kama kifua kipana anataka wawe nacho watoto toka kwa baba yako, ndo keshakikosa hicho..!!
 
Acha ujinga kama ulikua hutaki kuambiwa ingekaa nacho moyoni mbwa kabisa,si tunaona mwanaume mwenzetu unaenda chukua shamba la mgogoro halafu tukuchekee,kuna siku itakuja utuambie uyo dem anataka ule mavi yake
Dogo senge sana hili 😡😤😤😡
 
Hmmh sikuwahi kujua kama kuna wanaume wenzangu wanapelekwa kiasi hiki huko duniani, yani hii yote ni nini unahangakia?

Jiulize kama yule mwenzako aliyemzalisha alitumia nguvu kubwa kiasi hicho, kisha ujione ulivyo mjinga.

Kule mtoto sio dhambi, lakini kwanini aliweke kama sharti la kuwa nae kimahusiano, aliyemzalisha yupo wapi?

Mwanamke cheap huyo, anakunyima usingizi ila kuna wana wanapiga ua galagaza.

[emoji23][emoji23]
 
Mkuu mwanamke asikilizwi mkuu....

Mwanamke anakupima kujiamini kwako..ukienda tuu gym anajua hujiamini hivyo anakupiga chini.. usithubutu msikiliza mwanamke , wewe mwitikie tuu ila usitekeleze na hiyo ndio mbinu ili asijue humsikilizi
 
Back
Top Bottom