Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe

Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe

Kwema wakuu?

Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu...
Wanaume kama wewe ndio naanza kuwasikia leo

Hata mimi ni men lkn huu wakwako ni kiboko
Yaani uhonge single mother,uambiwe kifua sijui kimefanyajee.

Any way wewe utakuwa wa Mkoa ulee pendwaa
 
Kwema wakuu?

Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu...
Naona wew ni DeepPond wa 2 😂😂😁😁😁

Daaah haya bwana
 
Yaani natoa kisa changu nipewe ushauri kuhusu mke wangu mtarajiwa kwenye suala la kukaa na mtoto,watu wana coment vingine.

Napata mashaka na u smart wa wengo humu. Kufuata maelekezo na kuelewa mada/swali bado ni tatizo kubwa sana.
Wengi kichwani Hamna kitu Kabia
 
Kwema wakuu?

Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu...
Wasichana wengi wana akili kuliko vijana wa kiume huo ndiyo ukweli. Anakwambia sio kwasababu ya kupungua pekee ni kwasababu anataka kubadilisha tabia yako na mazoezi yake sehemu ya maisha.

Kama una kitambi ukiwa kijana miaka ijayo itakuwa shida zaidi na usikoweka utamaduni wa mazoezi na kula vizuri hasa wenye maumbo ya kuzaliwa ya unene utaishia kupata magojwa na shida itakuwa kwake!. Smart girl
 
Back
Top Bottom