Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Haki ya mungu nimefunga ila wanaume tunazidi pungua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaleta kufanyeje na ushafanywa fala?Nalileta kwenu wakuu wangu
Bro huyo mwanamke ashakufanya fala na atakuendesha sana kama usipochukua hatua za makusudi kutambua thamani yako kama mwanaume!Kwema wakuu?
Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu.
Na kwawakati uo tulikua nimarafiki yaani best friends. Nilikuwa nalipa transport bills zake, kodi japo mara moja moja, kumtoa out na rafiki zake ikwemo cousins zake, kumnunulia vitu mbali mbali n.k
Achilia ile M1 ya kwake pekee, nilishamlipia mpaka bro wake ela tra kwenye issue za biashara zake.
Sasa mpaka mwezi wa kumi mwakajana nikaamua kumuambia ukweli nampenda na ukizingatia tulikuwa karibu, ajabu aliniruka mita 100 na kusema mimi ni kama kaka yake tu na haitotokea kamwe anivulie nguo.
Moyo ulizima kwa dk kadhaa, akili iliruka kwa dk kadhaa. Sikuamini kabisa.
Nikamuambia anyaways naheshimu mtazamo wako. Nikaomba tuendelee kua marafiki akasema yes. Sasa mwaka huu mwezi wa pili nikagusia tena suala langu.
Safari hii hakuonesha upinzani sana, akaniambia yeye anapenda mwanaume mwenye kifua kipana na mrefu.
Mimi ni mrefu ila sina kifua kipana sana so nikaanza kwenda gym.
Hapa juzi tu nimegundua ana mtoto mmoja tena mkubwa tu kidogo. Tukaongea sana kwa sms na nikamsema sana, ajabu ananiambia nikimuoa basi ni sharti nikae na kulea mwanawe.
Nikakubali na hapa nipo katikati natengenzeza mwili.
Shida ni mtoto wake, yeye nampenda ila mtoto wake hana adabu na nilikua namuona kwa baadhi ya ndugu zake kabla ya kujua kua niwake.
Nipo dilema kabisa hapa. Hivi hakuna njia naeza tumia nikaishi na mke wangu pasipo kuishi na mtoto wake huyu?
Nalileta kwenu wakuu wangu
Unaenda kuoa bomu... Pole sana.Kwema wakuu?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Make kwanza nchekeKwema wakuu?

Ma*mae[emoji1787][emoji1787]Bado atakuja kukwambia unywe dawa za kuongeza mashine ...hataki kibamia....
Na mwisho atakwambia jitahidi utafute hela za kutosha hataki mume mwenye hela za mawazo...
Upumbavu ukiuendekeza hauna stop
"Moyo ulizima kwa dk kadhaa, akili iliruka kwa dk kadhaa. Sikuamini kabisa"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "AKANIRUKA MITA 100"