Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,961
Hiyo dhambi imeandikwa wapi, ina maana sisi tunaotorosha tutahukumiwa na moto wa jehanamu kisa tu hatukufunga ndoa, imeandikwa wapi ni dhambiPole sana kwa changamoto, jitahidi tu kumsisitiza ili muweze kufunga ndoa siyo vizuri kuishi bila ndoa hiyo ni dhambi kwa Mungu.
Tunaishi kwa amani na upendo kwakweli anajali hatukosi mahitaji ila niko insecure
Hayo ndio maamuzi ya kiume. Shukuru walau mahari wazee wamekula Sasa wewe unataka nini kingne Maana Kama mume unae. Tunza ndoa yako bidada na Mungu awajalie muzae nke na ndume.
Kwani akikuoa nini kinaongezeka? Kashalipa mahari, na wewe tayari unatumikia majukumu ya ndoa, shughuli imeisha hapo.
Subiri siku ya siku usikie kaoa mwanamke mwingine, utupiwe virago.
Kama mnaishi wote haraka ya nini?
Kasema ajipange..kama kwenu Wana haraka wawe tayari kugharamia harusi
PoleHabari za asubuhi wakuu wote wa JF na hongereni kwa shughuli mbalimbali za kujenga taifa.
Kilichonileta kwenu asubuhi hii ni kunisaidia mawazo ya hili nalopitia kwa sasa, mimi na mwenza wangu tuna miaka mitatu sasa tunaishi pamoja na ni mwaka mmoja wa kuchumbiwa.
Kama mjuavyo, desturi zetu za Kiafrika baada ya mahari mnaulizwa tarehe ya Ndoa ndivyo ilivyokuwa na kwetu pia ila mwenzangu aliomba ajipange sababu hakuwa vizuri kwa kipindi hicho hivyo wazazi walimkubalia.
Sasa napata maswali mengi kutoka kwa wazazi na ndugu wakiniuliza ndoa lini mpaka nakosa majibu sababu nikimuuliza mwenzangu ananiambia nina haraka gani nisubiri.
Kilichonifanya nije kwenu ni kuomba ushauri je niko sahihi kuendelea kutumikia majukumu yangu ya ndoa kwa mgongo wa kuchumbiwa au nimechutama choo cha kiume?
Anataka waingie kwenye madeni kisha aanze Kumnunia jamaa
Sisi tulishakubaliana 4 years itumikie kwanza tuone Kama unastahili
Na hii ina apply kwa wote
Au nasema uongo ndugu zangu
HahahaWatu wanatoa mpaka mahari afu anakuzungusha kwenye ndoa kuna mwanangu huyo ndo zake mahari anatoa fresh.View attachment 1923397
Kama mnaishi vizuri we enjoy tu achana na maswali yao.Habari za asubuhi wakuu wote wa JF na hongereni kwa shughuli mbalimbali za kujenga taifa.