Amenichumbia lakini hataki Ndoa

Asante kwakunielewa
 
Miaka 3 ni ndoa tayari kitu hamna n cheti,mahari wazazi wako wamepokea mengine ya ndoa anapanga mwanaume sio wewe na wazazi wako
 
Unanielewa kweli shoga yangu na me hofu yangu ipo hapa amepewa mpk option ya kufanya sherehe moja nikimaanisha me nisifanye sendoff wala kitchen party lakini still amekua mgumu
Familia yenu inamlazimisha yeye hii ni chiboko,ingekua mimi ndio yeye nafunga ndoa asubuhi...badae naendelea n kazi zangu
 
Mtoa mada kachoka kuzini now anataka ndoa ambayo hata akifanya ibada moyo wake unakuwa na amani kama mtu ameweza kuishi nae miaka yote hiyo kiapo cha sekunde kina tatizo gani?
Kila mtu na plan zake mimi nlikaa nae miaka 8 kelele za ndoa zilipozidi,nkamwambia twende church asubuhi jmos tumefunga ndoa saa 4,baadae nkamrudisha hom nami kuendelea na kazi zangu....ndgu zake wakapiga kelele sana kwanini nimeamua hivyo wakti wao waliplan sherehe,uwezo nlikua nao wakufanya sherehe kubwa bt kelele zake ndio zilimcost kua na harufu ya kimyakimya
 
Kwanza unatakiwa kujua tafsiri kuwa ndoa ni nini?

Kama mnashiriki na mmekula viapo basi hiyo ni ndoa inayotambulika kiroho. Mfano wa viapo ni kama kuitana mume au mke au nitakupenda maisha yangu yote na sitokusaliti.

Unachomaanisha wewe ni sherehe ili mburudishe watu au mpate document za kuwasaidia pindi linapotekea tatizo. If that's the case naomba mkafunge ndoa ya makaratasi kwa mkuu wa wilaya na mkipata uwezo huko baadae mtafanya kalamu ambayo wewe ndo unamaanisha ndoa.

Kama wewe ni mkristo naomba usome kitabu chote cha Wakorintho na utafuta uzi wako huu.

Nawakilisha

Asante sana
 
Hahahaha hii ya kibabe sana mzee wangu
 
Una watoto wangap ktk hiyo miaka mitatu? Ukijibu nitaendelea.
 
Laiti kama cheti kingekua guarantee ya ndoa hamna ambae angekataa

ila sote tunajua maisha ndani haijalishi mna cheti au la
Na kuachana ni asubuhi tu

asije haribu maisha mazuri waliyonayo ndani kisa kudai cheti
Yangekuwa mazuri sidhani kama tungskuwa tuna mjadala huu. Mpaka mrembo kaamua kufunguka hapa ujue tayari emotionaly inamsumbua. So kwako wewe cheti cha ndia sio dili ila kwa mwanamke muelevu anajua kuwa bila cheti cha ndoa hapo hamna kitu.

Na kweli kama mwanaume unampenda huyu mwanamke na mwanamke kuwa na hicho cheti ndio amani ya moyo wake kwa nini usifunge ndoa muishi kwa raha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…