Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Ndio Mkuu, sheria inawataka baada ya ndoa kwenda kuisajili kwa msajili. Nyingi hazisajili kwa kutokujua hivyo ziabaki kuwa kama vile hakuna ndoa.Ndo za kimila watu wanapewa vyeti vya ndoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Mkuu, sheria inawataka baada ya ndoa kwenda kuisajili kwa msajili. Nyingi hazisajili kwa kutokujua hivyo ziabaki kuwa kama vile hakuna ndoa.Ndo za kimila watu wanapewa vyeti vya ndoa?
Asante kwakunielewaKuna mambo ukiyafikiria vizuri, utagundua huyu dada kuiwaza nda yupo sahihi kabisa.
Kuna mambo yakitokea baadae au hata sasa yataleta milolongo isiyo na maana kabisa.
Kama mwanadamu kuna kuendelea kiuchumi na kimaisha sasa kuruhusu maendeleo yako yakukute haupo sehemu salama na sahihi ni hatari sana. Dada upo sahihi dai ndoa ila kwa akili sana
Fikiria ndio mmejenga nyumba mna biashara na mali nyingine na maendeleo pia alafu ghafla unasikia Mwamba anaoa, unajua hautaweza mzuia kabisa asioe tofauti na ukiwa tayari umeolewa.
Aise kuna upande nasimama na wewe dada, hasa ukiyawaza maisha kwenye uhalisia wake, kua vifo, maradhi, maendeleo na kadhalika.
Kila la kheri ila usilazimishe ndoa.
Umenielewa kupitiliza yaani hii ni point yangu kubwaMtoa mada kachoka kuzini now anataka ndoa ambayo hata akifanya ibada moyo wake unakuwa na amani kama mtu ameweza kuishi nae miaka yote hiyo kiapo cha sekunde kina tatizo gani?
Mpendwa za kuambiwa changanya na zako wewe ndio unajua unapitia maumivu kiasi ganiUmenielewa kupitiliza yaani hii ni point yangu kubwa
Miaka 3 ni ndoa tayari kitu hamna n cheti,mahari wazazi wako wamepokea mengine ya ndoa anapanga mwanaume sio wewe na wazazi wakoHabari za asubuhi wakuu wote wa JF na hongereni kwa shughuli mbalimbali za kujenga taifa.
Kilichonileta kwenu asubuhi hii ni kunisaidia mawazo ya hili nalopitia kwa sasa,me na mwenza wangu tunamiaka mitatu sasa tunaishi pamoja na ni mwaka mmoja wa kuchumbiwa.
Kama mjuavyo, desturi zetu za Kiafrika baada ya mahari mnaulizwa tarehe ya Ndoa ndivyo ilivyokua na kwetu pia ila mwenzangu aliomba ajipange sababu hakua vizuri kwa kipindi hicho hivyo wazazi walimkubalia.
Sasa napata maswali mengi kutoka kwa wazazi na ndugu wakiniuliza ndoa lini mpaka nakosa majibu sababu nikimuuliza mwenzangu ananiambia nina haraka gani nisubiri.
Kilichonifanya nije kwenu ni kuomba ushauri je niko sahihi kuendelea kutumikia majukumu yangu ya ndoa kwa mgongo wa kuchumbiwa au nimechutama choo cha kiume?
Ukilazmisha unapigwa chini fasta,wanaume wenye kijitambua hatulazimishi ndoaNataka Ndoa ya kanisani kwa mahari tu am insecure
Familia yenu inamlazimisha yeye hii ni chiboko,ingekua mimi ndio yeye nafunga ndoa asubuhi...badae naendelea n kazi zanguUnanielewa kweli shoga yangu na me hofu yangu ipo hapa amepewa mpk option ya kufanya sherehe moja nikimaanisha me nisifanye sendoff wala kitchen party lakini still amekua mgumu
Kila mtu na plan zake mimi nlikaa nae miaka 8 kelele za ndoa zilipozidi,nkamwambia twende church asubuhi jmos tumefunga ndoa saa 4,baadae nkamrudisha hom nami kuendelea na kazi zangu....ndgu zake wakapiga kelele sana kwanini nimeamua hivyo wakti wao waliplan sherehe,uwezo nlikua nao wakufanya sherehe kubwa bt kelele zake ndio zilimcost kua na harufu ya kimyakimyaMtoa mada kachoka kuzini now anataka ndoa ambayo hata akifanya ibada moyo wake unakuwa na amani kama mtu ameweza kuishi nae miaka yote hiyo kiapo cha sekunde kina tatizo gani?
Kwanza unatakiwa kujua tafsiri kuwa ndoa ni nini?Habari za asubuhi wakuu wote wa JF na hongereni kwa shughuli mbalimbali za kujenga taifa.
Kilichonileta kwenu asubuhi hii ni kunisaidia mawazo ya hili nalopitia kwa sasa,me na mwenza wangu tunamiaka mitatu sasa tunaishi pamoja na ni mwaka mmoja wa kuchumbiwa.
Kama mjuavyo, desturi zetu za Kiafrika baada ya mahari mnaulizwa tarehe ya Ndoa ndivyo ilivyokua na kwetu pia ila mwenzangu aliomba ajipange sababu hakua vizuri kwa kipindi hicho hivyo wazazi walimkubalia.
Sasa napata maswali mengi kutoka kwa wazazi na ndugu wakiniuliza ndoa lini mpaka nakosa majibu sababu nikimuuliza mwenzangu ananiambia nina haraka gani nisubiri.
Kilichonifanya nije kwenu ni kuomba ushauri je niko sahihi kuendelea kutumikia majukumu yangu ya ndoa kwa mgongo wa kuchumbiwa au nimechutama choo cha kiume?
Hiyo siyo ndoa ni "dhahania ya ndoa" ..hakuna ndoa hapo. Someni sheria ya ndoaKama mnaishi pamoja kwa miaka 3 hiyo tayari ni ndoa.
Hahahaha hii ya kibabe sana mzee wanguKila mtu na plan zake mimi nlikaa nae miaka 8 kelele za ndoa zilipozidi,nkamwambia twende church asubuhi jmos tumefunga ndoa saa 4,baadae nkamrudisha hom nami kuendelea na kazi zangu....ndgu zake wakapiga kelele sana kwanini nimeamua hivyo wakti wao waliplan sherehe,uwezo nlikua nao wakufanya sherehe kubwa bt kelele zake ndio zilimcost kua na harufu ya kimyakimya
Ukimruhusu atawale akili yako ndio kumaliza sherehe unamadeni mpka unatamani umlime talakaHahahaha hii ya kibabe sana mzee wangu
Imeisha hiyo dhahania inatosha.Hiyo siyo ndoa ni "dhahania ya ndoa" ..hakuna ndoa hapo. Someni sheria ya ndoa
Una watoto wangap ktk hiyo miaka mitatu? Ukijibu nitaendelea.Habari za asubuhi wakuu wote wa JF na hongereni kwa shughuli mbalimbali za kujenga taifa.
Kilichonileta kwenu asubuhi hii ni kunisaidia mawazo ya hili nalopitia kwa sasa,me na mwenza wangu tunamiaka mitatu sasa tunaishi pamoja na ni mwaka mmoja wa kuchumbiwa.
Kama mjuavyo, desturi zetu za Kiafrika baada ya mahari mnaulizwa tarehe ya Ndoa ndivyo ilivyokua na kwetu pia ila mwenzangu aliomba ajipange sababu hakua vizuri kwa kipindi hicho hivyo wazazi walimkubalia.
Sasa napata maswali mengi kutoka kwa wazazi na ndugu wakiniuliza ndoa lini mpaka nakosa majibu sababu nikimuuliza mwenzangu ananiambia nina haraka gani nisubiri.
Kilichonifanya nije kwenu ni kuomba ushauri je niko sahihi kuendelea kutumikia majukumu yangu ya ndoa kwa mgongo wa kuchumbiwa au nimechutama choo cha kiume?
Ndio ushangae tena mwanamke ndio anaipigia debe kabisa. Baadae mnaanza kulalamika oh wanaume wwanapenda kucchakata mbususu tuu hawaoi...wakati shida ipo kwa warembo wenyeweYaani kuna watu wa ajabu sana kumbe sogea tuishi watu wanaichukulia ndoa
Yangekuwa mazuri sidhani kama tungskuwa tuna mjadala huu. Mpaka mrembo kaamua kufunguka hapa ujue tayari emotionaly inamsumbua. So kwako wewe cheti cha ndia sio dili ila kwa mwanamke muelevu anajua kuwa bila cheti cha ndoa hapo hamna kitu.Laiti kama cheti kingekua guarantee ya ndoa hamna ambae angekataa
ila sote tunajua maisha ndani haijalishi mna cheti au la
Na kuachana ni asubuhi tu
asije haribu maisha mazuri waliyonayo ndani kisa kudai cheti
Kugegedana ni raha kwa pande zote ila kwa mfumu dume wa dunia hii mwanamke suffers more akigegedwa na kuachwa na wanaume wengi.Even men get heartbreaks
Tulikua kwenye point nyingine ya tendo naona saivi umeingia kwenye moyo