jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Kuna wenzake walicheza sana ukumbini tena kwa gharama kubwa sana ya kukodisha huo ukumbi wa kuchezea,lakini leo hii Ndoa zao mashaka matupu!! Amshukuru Mungu kwa kila Jambo!!Mpuuzi sana huyu dada naona anataka kuchezacheza tu pale kwenye korido ya ukumbini. Atulie nadhani anajuta sana kuleta huu uzi hapa.