Amenichumbia lakini hataki Ndoa

Amenichumbia lakini hataki Ndoa

UKWELI KUHUSU WANAUME
Mwanaume anaweza kuishi na Mwanamke kwa miaka10 akaja kuoa Mwanamke walio dumu kwa miezi 2
 
UMUHIMU WA PETE YA NDOA

(Nae Padri Faustine Kamugisha,Kitabu Ndoa Yataka Moyo)

Chanda Chema Huvishwa Pete. Ni Methali ya kiswahili inaamishayo kuwa Anayetenda Mema Hutunukiwa Mwishowe, Hupewa Zawadi Hatimaye. Chanda Ni Kidole. Katika Vidole Kuna Kidole Cha nne Huitwa "Cha Pete" Bwana Na Bibi wanapofunga Ndoa Wanavishana Pete za Ndoa katika Vidole vya Pete. Bwana Ni "Mwema" na Mpendwa kwa Bibi Harusi na Bibi Harusi ni Mwema na Mpendwa kwa Bwana Harusi Kwa Hao Wawili twaweza Kutumia Msemo Chanda Chema huvishwa Pete. Pete ni Pambo la Aghalabu La Madini livaliwalo Kidoleni.

KIDOLE NA PETE NI ISHARA YA MSHIKAMANO

Usemi wa Kiswahili Chanda na Pete , Unamaanisha Mshikamano, Mkamatano wa Pamoja, Nahau Hii Hutumiwa kwa Watu Wawili Wapendanao. Tunaweza Kusema Wanandoa au Bwana Na Bibi Harusi wanapendana kama Chanda na Pete yaani Kidole na Pete. Mshikamano Katika Ndoa Ni Kitu Muhimu. Unamaanisha Kuacha Na Kuambatana. Maandiko Matakatifu yanatwambia Hivi "Ndio Maana Mwanaume Humuacha Baba Yake na Mama Yake, akaambatana na Mkewe , nao Wawili huwa Mwili Mmoja" (Mwz 2:24-25). Pete Na Kidole Vinaashiria Umoja Huu. Kuna Wazazi Ambao Hawataki kuacha Kiunga mwana (Umbilical cord). Mtoto wa Kiume Akioa Kuna Wazazi Ambao Hawataki kukata Kiunga Mwana Yaani Kuacha Mtoto wa Kiume Aambatane na Mke wake.
Kuku Akiisha Fundisha Vifaranga kuchakula Anaviacha vitafute Chakula. Paka akizaa watoto Baadaye anawaachia Wawe huru. Wanyama wanakata "Kiunga Mwana" ni Kweli Mtoto Hakui kwa ***** na Babaye. Lakini anahitaji kupata Uhuru wa Namna Yake aambatane na Mke wake kama ni Mwanaume au kama Ni Mwanamke Aambatane na mume wake.

Nilikutana Siku Moja na kijana Alieitwa Andrea Kamau Amekasirika. Nilimuuliza, "Mbona Bwana Kamau Hauna Furaha Leo". Kwa Huzuni Aliniambia " Tulikua na Mke wangu Tunatafuta Chumba Mahali pa Kupanga. Mama wa Mke wangu akasema ni Kidogo hakitatutosha Watatu. Mama Huyo Anataka Kuambatana na Binti Yake. Hilo linanipa Wasiwasi." Kamau Alikua na Wasiwasi Sababu palikuwepo na Dalili za Kutoacha na Kuambatana. Msemo Chanda na Pete unaonesha Mshikamano kati ya Mume na Mke waliofunga Ndoa Wanaambatana pamoja. Haina Maana Wanakua Kisiwa. La hasha. Ni Wanajamii walio na Uhuru kama Jumuiya ya Wanandoa.
Kuambatana Huku Kunakosisitizwa Kunakuwa katika Kupanga Majukumu pamoja, Kulea Watoto Pamoja, Kuambatana katika Kutafuta Mkate wa Kila Siku, Kuambatana katika kutafuta Mahitaji Muhimu ya Lazima katika Familia, Kuambatana katika kutunza Pesa za Familia, Kuambatana katika Siku ya Wanachama Yaani Siku ya Ijumaa. Wanandoa ni Wanachama katika Ndoa yao. Ni Chama Cha Wawili kinachokubali uwepo wa Mkono Mungu Unaobariki na Kustawisha, "Maana Mungu Asipoijenga Nyumba Waijengao Wanajisumbua Bure." Kwa Ufupi Usemi Chanda na Pete unabainisha Mshikamano Katika Ndoa. Ndoa Ni Jumuiya Ambayo ina Bwana Na Bibi, na Watumishi Wawili, wote Kwa Ujumla ni Wawili. Bwana na Bibi ni Watumishi. Wanatumikiana.

PETE YA NDOA NI ISHARA YA UAMINIFU

Uaminifu usipopata nafasi Katika Ndoa Inakuwa kama Ngome iliyozingirwa. Wale walioko nje Wanataka kuingia Ndani; Wale Walioko ndani Wanataka Kutoka Nje. Uaminifu Katika Ndoa Si Suala la Kusadikika. Dunia Imejaa Mifano Mingi ya Wanandoa Ambao Wameweza kuishi Pamoja maisha Yao Wakiwa Pamoja.
Wakati Bwana Na Bibi Henry Ford walipokua wanasherekea Maadhimisho ya Miaka 50 ya Ndoa mwandishi wa Habari alimuuliza Bwana Henry Ford "Ni Jambo Gani limekusaidia Katika Kipindi cha Miaka 50?" "kanuni," Alisema Ford "Ni Kanuni Ile ile ambayo Nimeitumia katika Kutengeneza Magari- Shikiria Mtindo Mmoja."
Bwana Henry Ford (1863-1947) Alikua ni Mwamerika Mtengenezaji Magari. Alikua Mkuu wa Kampuni ya Ford Motor Company (1903-1919,1943-1945).
Katika Kanisa Katoliki Bwana Harusi Wakati wa Ibada ya Kufunga Ndoa anachukua Pete ya Bibi Harusi, Anamvika Katika Kidole Cha Pete Akisema: "Mwenzangu Pokea Pete Hii iwe Ishara ya Mapendo Yangu na Uaminifu wangu Kwako......" Kadhalika Bibia Harusi Anachukua Pete Akisema Maneno Niliyonukuu hapo juu. Pete ni Ishara ya Mapendo Na Uaminifu.

PETE NI ISHARA YA UPENDO

Pale Ambapo Kuna Ndoa Bila Upendo, panakuwepo Na Upendo Bila Ndoa. Upendo Una Thamani kubwa. Pete za Ndoa za Gharama huwa za Dhahabu kama Si Dhahabu huwa na Rangi ya kama Pete ya Dhahabu. Dhahabu ni Madini ya thamani, vilevile Ndoa ni Ya Thamani. Upendo ni Dhahabu. Dhahabu ni Mfalme wa Madini. hivyo Hivyo Upendo ni Mfalme wa Fadhila na Matendo Mema.
Dhahabu ni Madini Yanayodumu. Pete ya Dhahabu inaonesha Matashi Ya kuwa na Ndoa idumuyo kama Dhahabu.
Kwa Wanandoa Mwenzi wako Katika ndoa Ni Hazina Yako Sababu ya Msingi wa Upendo kama Hadithi ya Ifuatavyo inavyoonesha. Kuna Jiji Ujerumani Liitwalo Weinberg. Ukilitazama Jiji Toka Juu Kuna Kilima Ambapo juu kuna Ngome ya zamani. Wakazi wa Mji wa Weinberg wanajivunia Kusimulia hadithi nzuri juu ya Ngome.
Kadri ya Hadithi, Mnamo Karne ya 15, wakati wa Desturi za Waungwana wa enzi za Kati, Vikosi vya Maadui Vilivamia Ngome na kuizingira. Wakazi walizingirwa ndani. Mkuu wa Majeshi ya Maadui alitoa Tangazo kuwa Ataruhusu Wanawake na Watoto Kutoka kwa Uhuru kabisa kabla ya Shambulio la Kuteketeza.
Baada ya Mashauriano Kamanda wa Maadui alikubali pia Kumwachia Kila Mwanamke kuchukua Kitu cha Thamani sana Anachikimiliki Ilimradi awe na uwezo wa kukibeba.
Unaweza kufikilia hofu na Mshangao wa kamanda Wakati Wanawake Walipoanza Mwendo wa Kutembea Kutoka Ngomeni Kila Mmoja Alimbeba Mume wake Mgongoni.

PETE NI DUARA

Dunia Ni Duara Methali ya Kiswahili. Katika Dunia Kuna Mzunguko wa Mambo. Kuna Mambo Ambayo hayana mwisho, Ingawa tunasema Chenye Mwanzo Kina Mwisho.
Upendo Wa Wenye Ndoa Hauna Mwisho wakiwa Hai. Ni mzunguko. Duara Ni Mchoro wa Umbo la Mviringo.
Katika Maisha ya Ndoa kuna Mzunguko wa Shughuli za Kujipatia Mkate wa Kila siku, shughuli za Kujiendeleza, kulea Watoto kama Wanandoa wamejaliwa Kuwapata.
Duara linaonesha kuwa Mwanamke Ameshazungukwa na Mume wake. Na Mume Ameshazungukwa na Mke wake. Hakuna Anaekaribishwa Kuingilia Ndoa Hiyo kama Mume au Mke Vinginevyo litakuwa wingu la Watu katika Ndoa au umati. Ndoa ni Ya Wawili, Ambao wanakua "Mwili Mmoja".
Ndege Huwa Wanajenga Viota Katika Umbo la Duara.
Matunda yapo Katika Umbo la Duara. Dunia Ni Duara. Ndoa Ni " Dunia" ya aina yake. inazaa Matunda. Watoto ni Matunda ya Ndoa.
Pete Inawekwa Katika Kidole cha Pete cha Bibi Harusi na Katika Kidole cha Bwana Harusi cha Pete hivyo ni Vidole viwili vianonesha kuwa Kidole Kimoja hakivunji Chawa. Wanandoa hawanabudi kusaidiana, Kufarijiana, kushauriana na Kuliwazana. Kidole cha Pete kwa wanaocheza Kinanda au wale wanaopiga Taipu ni Kidole Ambacho hakina Nguvu. Kinapata nguvu kwa kushirikiana na Vidole Vingine. Pete katika Kidole cha Pete inaashiria uhitaji wa Mume kushirikiana na Mke wake Kupata Nguvu na Mke Kushirikiana na Bwana Wake kupata Nguvu.
Pete ya Ndoa inavaliwa Mkono Wa Kushoto Upande ulipo Moyo. Moyo ni Ishara ya Upendo. Maskauti Husalimiana kwa Kupeana Mkono Wa kushoto, Ishara ya Kutakiana Mapendo. Pete ni Ishara ya Upendo. kwa Kuvaa Pete ya Ndoa MTU anahidi Upendo, Anahiidi Uaminifu, Anahiidi Uwajibikaji kwa Mwenzake wa Ndoa na Utiifu.
 
Hili gazeti vipi tena
 
Miaka 3 ni ndoa tayari kitu hamna n cheti,mahari wazazi wako wamepokea mengine ya ndoa anapanga mwanaume sio wewe na wazazi wako
Wazazi hawajampangia ila walishauri kama wazazi kama mmekubaliana kiasi chakufika kwetu kwanini msifanye kitu kidogo ilimradi mmalize mkaishi kwa amani
 
Kwanza unatakiwa kujua tafsiri kuwa ndo ni nini?

Kama mnashiriki na mmekula viapo basi hiyo ni ndo inayotambulika kiroho. Mfano wa viapo ni kama kuitana mume au mke au nitakupenda maisha yangu yote na sitokusaliti.

Unachomaanisha wewe ni sherehe ili mburudishe watu au mpate document za kuwasaidia pindi linapotekea tatizo. If that's the case naomba mkafunge ndoa ya makaratasi kwa mkuu wa wilaya na mkipata uwezo huko baadae mtafanya kalamu ambayo wewe ndo unamaanisha ndoa.

Kama wewe ni mkristo naomba usome kitabu chote cha Wakorintho na utafuta uzi wako huu.

Nawakilisha

Asante sana
Hili ndolimewajaa wengi humu lakini sivyo nilivyomaanisha me niko teyari hata bila sherehe ila mwenzangu ndoamekua mzito
 
Yangekuwa mazuri sidhani kama tungskuwa tuna mjadala huu. Mpaka mrembo kaamua kufunguka hapa ujue tayari emotionaly inamsumbua. So kwako wewe cheti cha ndia sio dili ila kwa mwanamke muelevu anajua kuwa bila cheti cha ndoa hapo hamna kitu.

Na kweli kama mwanaume unampenda huyu mwanamke na mwanamke kuwa na hicho cheti ndio amani ya moyo wake kwa nini usifunge ndoa muishi kwa raha?
Hapo sasa ndopanaponitatiza
 
Kuna wenzake walicheza sana ukumbini tena kwa gharama kubwa sana ya kukodisha huo ukumbi wa kuchezea,lakini leo hii Ndoa zao mashaka matupu!! Amshukuru Mungu kwa kila Jambo!!
Namshukuru kila leo namambo ya sherehe kubwa haipo akilini mwangu
 
Usijiskie vibaya ila pia stop pushing yourself to him. Mnakoseaga sana kulazimisha vitu yani ndoa ni kitu cha asili hamu ya kuoa ikibisha hodi atakuoa bila hata makeke we utaona katafuta mshenga wake wamekuja kwenu! Ukimlazimisha atahisi una lengo baya[emoji28]
Wameshakuja nyumbani na mahari ashalipa ila kwenye kufunga ndoa kanisani sasa ndomziki upo
 
Back
Top Bottom