Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jambo la kumwambia mwenzio una hiki na kile kinachopelekea nisifikilie kufunga pingu za maishaNi sahihi kabisa! Unaweza kuta huyo wa miaka kumi kuna mambo hayamridhishi mwanaume!
Hahahaha! Mwengine hata ukimuambia kazi bure,habadiliki,na anakujibu kuwa mimi ndo fulani, siwezi kubadilika,nipo kama nilivyo,utafanyaje kama wewe mwanaume?Ni jambo la kumwambia mwenzio una hiki na kile kinachopelekea nisifikilie kufunga pingu za maisha
Acha kumdanganya mwenzio, mchakato wa kutolewa mahari unainvolve kuandikishina na kila pande inabaki na nakala. Mahari inahalisha ndoa ya kimira na inatambulika.Zungumza nae, mpe timeframe /deadline yako
Kisha Acha kumkumbushia ndoa
Tafuta pesa tengenezq kesho yako.
Yaani kuwa busy na kesho yako kuliko mchwa .........(sasa sio unawekeza halafu mlivyo na kiherehere unaweka na jina lake)
Hakikisha hubebi mimba.........ukibeba kwisha habari yako!!!!!
Narudia hangaikia kesho yako....
Kama takupenda mtaendelea na stage ya pili
Kama bado anafuta kila mmoja atalala mbele!!!!
Kimila nabkisheria za nchi yetu tayari hiyo ni ndoa.Habari za asubuhi wakuu wote wa JF na hongereni kwa shughuli mbalimbali za kujenga taifa.
Kilichonileta kwenu asubuhi hii ni kunisaidia mawazo ya hili nalopitia kwa sasa,me na mwenza wangu tunamiaka mitatu sasa tunaishi pamoja na ni mwaka mmoja wa kuchumbiwa.
Kama mjuavyo, desturi zetu za Kiafrika baada ya mahari mnaulizwa tarehe ya Ndoa ndivyo ilivyokua na kwetu pia ila mwenzangu aliomba ajipange sababu hakua vizuri kwa kipindi hicho hivyo wazazi walimkubalia.
Sasa napata maswali mengi kutoka kwa wazazi na ndugu wakiniuliza ndoa lini mpaka nakosa majibu sababu nikimuuliza mwenzangu ananiambia nina haraka gani nisubiri.
Kilichonifanya nije kwenu ni kuomba ushauri je niko sahihi kuendelea kutumikia majukumu yangu ya ndoa kwa mgongo wa kuchumbiwa au nimechutama choo cha kiume?
Kimila na kisheria hiyo tayari ni ndoaHabari za asubuhi wakuu wote wa JF na hongereni kwa shughuli mbalimbali za kujenga taifa.
Kilichonileta kwenu asubuhi hii ni kunisaidia mawazo ya hili nalopitia kwa sasa,me na mwenza wangu tunamiaka mitatu sasa tunaishi pamoja na ni mwaka mmoja wa kuchumbiwa.
Kama mjuavyo, desturi zetu za Kiafrika baada ya mahari mnaulizwa tarehe ya Ndoa ndivyo ilivyokua na kwetu pia ila mwenzangu aliomba ajipange sababu hakua vizuri kwa kipindi hicho hivyo wazazi walimkubalia.
Sasa napata maswali mengi kutoka kwa wazazi na ndugu wakiniuliza ndoa lini mpaka nakosa majibu sababu nikimuuliza mwenzangu ananiambia nina haraka gani nisubiri.
Kilichonifanya nije kwenu ni kuomba ushauri je niko sahihi kuendelea kutumikia majukumu yangu ya ndoa kwa mgongo wa kuchumbiwa au nimechutama choo cha kiume?
If you can get free milk, why keeping a cow? Hahahaha RIP LwakatareKilichonifanya nije kwenu ni kuomba ushauri je niko sahihi kuendelea kutumikia majukumu yangu ya ndoa kwa mgongo wa kuchumbiwa au nimechutama choo cha kiume?
Dah!...Mungu atulindeKuna wenzake walicheza sana ukumbini tena kwa gharama kubwa sana ya kukodisha huo ukumbi wa kuchezea,lakini leo hii Ndoa zao mashaka matupu!! Amshukuru Mungu kwa kila Jambo!!
Hapa sasa ndio umesema shida yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nahamu pia ya shela
Kimsingi una haki ya kutakiwa kuolewa kwa ndoa ya kanisani. Kwa mimi naakuunga mkono. Kama vipi zungumza na jamaa mfanye tafrija ndogo tu ambayo mtaweza alika watu hata 60 tu kutoka kila upande.Nataka Ndoa ya kanisani kwa mahari tu am insecure
Wewe ukizungumza nae kuhusu hili anakwambia sababu ni kitu gani hadi amechuna kufanya ndoa na sherehe?!Sli la nyumbani naloulizwa ni kama jamaa amekua teyari mpk kulipa mahari kwanini amekua mzito kwenye kumalizia ndoa hata kama kwa sherehe ndogo tu ya watu wa karibu ameamua kukaa kimya
We sasa unataka mwenzako aje jutia. Badala ya kushauri azungumze na mwenzake vizuri unaanza story za yeye kurudi kwao.Kwenu ilifukuzwa
Kwa kifupi kaaanza kazi bila mkataba.Ni kweli. But u are between a hard rock and a stone right now. Uko kwenye position mbaya sana. I wish ungekuja kuomba ushauri kabla ya kuanza kuishi nae (baada ya mahari). Mimi ningekushauri kwa herufi kubwa; USIANZE KUISHI NAE,HADI BAADA YA KUAPA KANISANI.
Ila sasa umeshakosea pakubwa sana. Yaani ulipo sasa ni kuomba Mungu tu hilo la kwenda kuoa mwingine lisitokee, you dont have much to do zaidi ya kusubiri "neema" zake huyo mwanaume awiwe kukuoa.
Mahari ni jambo la kitamaduni. Kiimani kufunga ndoa ni kuweka agano la Kiroho na mtu.Nitajie fungu hata moja kwenye Biblia linalosema tufunge ndoa kanisan au serikalini?
Watu wote kwenye biblia walipolipa mahali tayali ilihesabika ndoa
Dhambi ni kuishi na mtu hajakulipia mahali ila kama umelipiwa wewe ni mke wa mtu sio mchumba
Wapo sahihi hawataki binti yao upotezewe muda na fursa ya kuwa mke wa mtu kihalali.Nadhani ameshaniona desperate sana na Ndoa ila wazazi nao wananipa pressure
Kimira [emoji777]Kuna ndoa tatu ndg
1. Kanisan
2. Serikali
3. Kimira
Hii ya tatu inahusisha upokeaji wa mahali kwa maandishi na zote zinatambulika kisheria
Huyu ni mke wa mtu aache ujinga na tamaa za vigelegele