Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Wahuniiiiiiiii?
Nimewaita
Wahuni mje mumsaidie dada wa watu huku
Alialikwa na mpenzi wake geto saa 5 usiku akaenda na mchungaji wa kanisani kwao
Wakafanya ibada, saa 6 kasoro akaondoka kurudi kwao mchungaji akabaki geto mpaka asubuhi
Sasa asubuhi bofriend anapigiwa simu na binti, simu haipokelewi, sms haijibiwi amenuna
Binti anauliza afanyaje?
Haya wahuni mje