Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #41
dammit!....hapo ni mtafunano kat ya pastor na kondoo wake....kwanza hio ni dharau kwa msela
Kilio cha mwanaume kwenye mapenzi kwa sasa ni hiki
Sikuhizi wanaume mnalia hivi Nakupa mapenzi Nakupa vichenji Nini haupati, Vikoba nimekulipia Dah, ila wanaume mnajua kulia? Mpaka mnaenda studio mnaimba kabisa Akina mama wapunguzieni adhabu wanaume wa watu jamaan, mtawamaliza mjue