Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Unaimba amapiano au kwaya?Nilivyo Soma hiyo heading nikajua ni wewe ndo umefanya hivyo aisee,,
Nilitaka kushangaa Shetani kugeuka kuwa malaika tena kwa mara ya pili mbona isingewezekana aisee 😑
Unamsaidiaje mtu kama huyo,, uniletee nuksi usiku halafu utegemee nisikumind? 😊Unaimba amapiano au kwaya?
Bado hujamsaidia dada lkn
Bro ni wewe nini uliletewa mchungaji geto?Acha useng...,mchungaji ndo upuuzi gani?!..mademu wa aina yako huwa ni wa....
Dada aende tena na mama mchungqji?Mwambie na yeye aende na mama mchungaji. 😂
Umeenda ugenini ukaona wamekimbiza kuku kabisa wakamchinja na akili yako ikajipanga kabisa kuwa leo nakula kuku halafu mara badala ya kuku uone matembele mezani inauma. Nahisi jamaa ndio alipata huto tumaumivu. 😂
Kizazi cha 2000Unamsaidiaje mtu kama huyo,, uniletee nuksi usiku halafu utegemee nisikumind? 😊
Nimecheka, kumbe kwenye papai ulikuwepo?Episode mpya dada wa mapapai ya Milion 22.
Bado yapo mapapa-i?Nimecheka, kumbe kwenye papai ulikuwepo?
2013 sikuwa jamii forum lknhadithi zako bandia za kijingajinga tangu 2013 bado hujaacha??
Yapo youtube boss watu wamenunua mbayaaBado yapo mapapa-i?
Hayo ya youtube wauzie watoto wa efu 2Yapo youtube boss watu wamenunua mbayaa
Unaombea na mchungaji? Iweje uongozane nae muda huo?Wahuniiiiiiiii?
Nimewaita
Wahuni mje mumsaidie dada wa watu huku
Alialikwa na mpenzi wake geto saa 5 usiku akaenda na mchungaji wa kanisani kwao
Wakafanya ibada, saa 6 kasoro akaondoka kurudi kwao mchungaji akabaki geto mpaka asubuhi
Sasa asubuhi bofriend anapigiwa simu na binti, simu haipokelewi, sms haijibiwi amenuna
Binti anauliza afanyaje?
Haya wahuni mje
Unapoza bwana mkubwa bibie! 😁 Namaanisha Yule jamaa. 😂Dada aende tena na mama mchungqji?
Wakati dada ameenda na mchungaji na anaomba msaada jamaa hapokei simu?