Ameniita kwake saa 5 usiku, nimeenda na mchungaji, baadae amenuna, nifanyaje?

Tumuulize huyo dem:

Yeye angetaka hela, ila akapewa risiti angefurahi?
SIENDI MWANANGU SIENDI
KATUMA YA KUTOLEA LAKINI SIENDI
SASA KAENDA BADO WAHUNI MMENUNA
 
Uandishi wako wa kihuni vile vile.
Allialikwa na mpenzi wake, akaenda na mchungaji gheto!

Kwa hiyo walipomaliza maombi, yeye akarudi kwao!

Sasa najiuliza, mchungaji alibakiaje kwa mshikaji wake, kwani walikuwa washikaji pia, au mchungaji alikuwa hana kwao hadi alale kwa waumini kijinga jinga?

Au nimeshindwa kukupata kutokana na uandishi wako?

Dadavua vizuri stori twende pamoja.
 
Hamna mdadavuo hapo kabisa umesoma sawa sawa

Sasa mpe jibu binti maana mchungaji anapokea simu kijana hapokei
 
Saa5 na mchungaji?wametoka wapi na walikuwa wanafanya nini usiku huo mpaka wasindikizane gheto kwa jamaa?....no woman no cry!
 
Saa5 na mchungaji?wametoka wapi na walikuwa wanafanya nini usiku huo mpaka wasindikizane gheto kwa jamaa?....no woman no cry!
Bro mbona uko na nidham za woga?
Mchungaji yupo masaa 24 kutafuta roho zilizopotea ndio kazi aliopewa na Yesu
 
Saa5 na mchungaji?wametoka wapi na walikuwa wanafanya nini usiku huo mpaka wasindikizane gheto kwa jamaa?....no woman no cry!
Vijana kama hawa wanamchango mdogo kwenye maendeleo ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…