Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,721
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe uliendelea.Sio gazeti tu wengine wanatamani kukurushia ngumi sema hawakuoni tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe uliendelea.Sio gazeti tu wengine wanatamani kukurushia ngumi sema hawakuoni tu[emoji23][emoji23][emoji23]
😂Unapenda ubishi utakuwa mfupi Wew maanawatu wafupi wabishi balaa[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe uliendelea.
Sasa chief, kamtangaza wapi wakati hata kumjua humjui na hutokuja kumjua. Anaweza akawa katunga lakini bado utatafuta sehemu kumtetea mwanamke mpumbavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe jua kaexpose wadada wengine walivyowapumbavu, haya kamuexpose basi nitajie huyo dada ni nani kama kamuexpose[emoji23][emoji23][emoji23]Hakika hakika.
Sasa kama unashindwa kuhonga kistaarabu ndo ufikie kumdhalilisha mtu mbele ya jamii?
Kwani wakipeana dudu huko wanakuja kujitangaza hapa kuwa tumechakatana?
Ukishindwa kumpa, mjibu kistaarabu na siyo kumtangaza kama kakata kimeo bana
Wapo wanaofanya hivyo, ila kwadunia ya sasa wadada wengi hutumia hiyo mbinu kujua kama jamaa atamchuna mwanaume kirahisi. Mwanaume humpima mwamaume kwa vitu vingi kabla ya kukubali mahusiano au ndoa na siyo makosa. Ila kipimo cha aina hii ndio wanakitumia vibaya na hawajui kuwa kinawadhalilisha sana tena mno.Mimi huwa naona ni mbinu ya kukufukuzia mbali kama hakutaki
Ushawahi kuona mkurya mfupi[emoji23][emoji23][emoji23], tafuteni pesa zenu mtupumzishe.[emoji23]Unapenda ubishi utakuwa mfupi Wew maanawatu wafupi wabishi balaa
Ndo maana mbishi mura 😂wakurya nao ukiwashinda tu ngumi mkononi 😂😂😂Ushawahi kuona mkurya mfupi[emoji23][emoji23][emoji23], tafuteni pesa zenu mtupumzishe.
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi sio mbishi, mtu mbishi atatoa point isiyokuwa na mashiko. Nilitoa point mpaka ukashindwa kujibu[emoji23][emoji23][emoji23] nusu uisuse JF. Hamtaki kujibu hoja mnatung'ang'aniza tu kutoa pesa halafu kujitetea kwanini tutoe hamuwezi dada zangu[emoji23][emoji23]. Mwanaume haendeshwi na hisia bali logic, sasa nanyinyi mnataka mtuendeshe kwamahisia yenu ya kutaka pesa bila kujali uchumi wetu. Nikiishiwa leo, tunaambiwa lilikuwa malaya sana au alijifanya gentleman. Tena mnaotusema ni nyie mlioshiriki kuziiba [emoji23][emoji23][emoji23]. Pesa ni zangu wewe shughulika na zako.Ndo maana mbishi mura [emoji23]wakurya nao ukiwashinda tu ngumi mkononi [emoji23][emoji23][emoji23]
Dem wake huyo.Sasa chief, kamtangaza wapi wakati hata kumjua humjui na hutokuja kumjua. Anaweza akawa katunga lakini bado utatafuta sehemu kumtetea mwanamke mpumbavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe jua kaexpose wadada wengine walivyowapumbavu, haya kamuexpose basi nitajie huyo dada ni nani kama kamuexpose[emoji23][emoji23][emoji23]
Ela zenyew hata hamna basi😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] mimi sio mbishi, mtu mbishi atatoa point isiyokuwa na mashiko. Nilitoa point mpaka ukashindwa kujibu[emoji23][emoji23][emoji23] nusu uisuse JF. Hamtaki kujibu hoja mnatung'ang'aniza tu kutoa pesa halafu kujitetea kwanini tutoe hamuwezi dada zangu[emoji23][emoji23]. Mwanaume haendeshwi na hisia bali logic, sasa nanyinyi mnataka mtuendeshe kwamahisia yenu ya kutaka pesa bila kujali uchumi wetu. Nikiishiwa leo, tunaambiwa lilikuwa malaya sana au alijifanya gentleman. Tena mnaotusema ni nyie mlioshiriki kuziiba [emoji23][emoji23][emoji23]. Pesa ni zangu wewe shughulika na zako.
Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa na anafanya kazi.
Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza shida zake kwangu. Huyu dada alianza kunitoa hamu mapema sana. Nikawa hata nikikaa naye sijisikii hamu. Ila nimemchana liwe funzo kwake na wenzie.
View attachment 2332307
Sasa kwanini mnatuomba kama hatuna😂😂😂, pesa haitoki kirahisi hivyo dada yanguEla zenyew hata hamna basi😂😂
Kiuhalisia hamna kibaya kama kuombana ombana pesa . Yaani Leo kesho unnaanza Kuomba pesa . Hii ni ulimbukeni ya wadada wengi wa Tanzania wanaendekeza Njaaa mno. Huyu hafai kuolewa hata kidogoHuyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa na anafanya kazi.
Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza shida zake kwangu. Huyu dada alianza kunitoa hamu mapema sana. Nikawa hata nikikaa naye sijisikii hamu. Ila nimemchana liwe funzo kwake na wenzie.
View attachment 2332307
😂😂Sasa kwanini mnatuomba kama hatuna😂😂😂, pesa haitoki kirahisi hivyo dada yangu
Subiria utaona[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh ulishuka Aya ndefu kweli na uliandika kwa hasira sana sana Mzee Baba! Relax! Angeomba Kodi ya nyumba sijui ungesemaje
Mkuu elfu kumi umemtolea povu dada wawatu,Kama alitaka kuongezea akanunue dawa au hitaji muhimu alafu baadae yuko hospital hoi itakuaje.
Mkuu ungetoa kama sadaka na kama tabia ingejiludia. Ungeuliza na majibu yakiwa ya hovyo unge mpayukia; Kilaza mkubwa.
Zamani tulikuwa tunafurahi kupata text toka kwa mwanamke. Siku hizi ukiona text toka kwa demu basi unakksa raha kabisa
Mtu anavua chupi kwa sababu ya elfu 7 heeeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie kuna wanawake wanateseka sana
Jmn si umpe tu bila kumla…
Yaani huyo ana shida Sanaa amekwama ila daah tunaji sacrifice sana kwenye haya maisha [emoji24]
Ah usijali kukoma kwa zamu🤣🤣🤣 ngoja tukisha waunganisha kwa grid ya taifa na kuwafanya single maza ndio tuone nani atacheka wa mwisho🤣🤣🤣🤣🤣Mkomee