Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Mimi kuna mmoja aliniomba 2000 nikamnyima....akanitumia sms eti mimi ni mlugaluga...nikamwambia sasa kama mimi ni mlugaluga unaomba hela yangu ya nini?....
..kawaombe pesa wajanja wenzio fara wewe...
 
Hakika hakika.
Sasa kama unashindwa kuhonga kistaarabu ndo ufikie kumdhalilisha mtu mbele ya jamii?

Kwani wakipeana dudu huko wanakuja kujitangaza hapa kuwa tumechakatana?

Ukishindwa kumpa, mjibu kistaarabu na siyo kumtangaza kama kakata kimeo bana
Sasa chief, kamtangaza wapi wakati hata kumjua humjui na hutokuja kumjua. Anaweza akawa katunga lakini bado utatafuta sehemu kumtetea mwanamke mpumbavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe jua kaexpose wadada wengine walivyowapumbavu, haya kamuexpose basi nitajie huyo dada ni nani kama kamuexpose[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi huwa naona ni mbinu ya kukufukuzia mbali kama hakutaki
Wapo wanaofanya hivyo, ila kwadunia ya sasa wadada wengi hutumia hiyo mbinu kujua kama jamaa atamchuna mwanaume kirahisi. Mwanaume humpima mwamaume kwa vitu vingi kabla ya kukubali mahusiano au ndoa na siyo makosa. Ila kipimo cha aina hii ndio wanakitumia vibaya na hawajui kuwa kinawadhalilisha sana tena mno.
 
Ushawahi kuona mkurya mfupi[emoji23][emoji23][emoji23], tafuteni pesa zenu mtupumzishe.
Ndo maana mbishi mura 😂wakurya nao ukiwashinda tu ngumi mkononi 😂😂😂
 
Ndo maana mbishi mura [emoji23]wakurya nao ukiwashinda tu ngumi mkononi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi sio mbishi, mtu mbishi atatoa point isiyokuwa na mashiko. Nilitoa point mpaka ukashindwa kujibu[emoji23][emoji23][emoji23] nusu uisuse JF. Hamtaki kujibu hoja mnatung'ang'aniza tu kutoa pesa halafu kujitetea kwanini tutoe hamuwezi dada zangu[emoji23][emoji23]. Mwanaume haendeshwi na hisia bali logic, sasa nanyinyi mnataka mtuendeshe kwamahisia yenu ya kutaka pesa bila kujali uchumi wetu. Nikiishiwa leo, tunaambiwa lilikuwa malaya sana au alijifanya gentleman. Tena mnaotusema ni nyie mlioshiriki kuziiba [emoji23][emoji23][emoji23]. Pesa ni zangu wewe shughulika na zako.
 
Sasa chief, kamtangaza wapi wakati hata kumjua humjui na hutokuja kumjua. Anaweza akawa katunga lakini bado utatafuta sehemu kumtetea mwanamke mpumbavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe jua kaexpose wadada wengine walivyowapumbavu, haya kamuexpose basi nitajie huyo dada ni nani kama kamuexpose[emoji23][emoji23][emoji23]
Dem wake huyo.

Jamaa ana akili za KANTANGAZE
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi sio mbishi, mtu mbishi atatoa point isiyokuwa na mashiko. Nilitoa point mpaka ukashindwa kujibu[emoji23][emoji23][emoji23] nusu uisuse JF. Hamtaki kujibu hoja mnatung'ang'aniza tu kutoa pesa halafu kujitetea kwanini tutoe hamuwezi dada zangu[emoji23][emoji23]. Mwanaume haendeshwi na hisia bali logic, sasa nanyinyi mnataka mtuendeshe kwamahisia yenu ya kutaka pesa bila kujali uchumi wetu. Nikiishiwa leo, tunaambiwa lilikuwa malaya sana au alijifanya gentleman. Tena mnaotusema ni nyie mlioshiriki kuziiba [emoji23][emoji23][emoji23]. Pesa ni zangu wewe shughulika na zako.
Ela zenyew hata hamna basi😂😂
 
Upo bold sana , nimepanda hiyo, wanaume wote tungekuwa hivi hawa wangetuheshimu na wangeacha hiyo sanaa
Kuna wenzetu sms hiyo hiyo angejibu "sawa baby namtafuta wakala nikutumie " hapo ni saa nne usiku na mwamba hata papuchi yenyewe hajapewa.
Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa na anafanya kazi.

Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza shida zake kwangu. Huyu dada alianza kunitoa hamu mapema sana. Nikawa hata nikikaa naye sijisikii hamu. Ila nimemchana liwe funzo kwake na wenzie.

View attachment 2332307
 
Kiuhalisia hamna kibaya kama kuombana ombana pesa . Yaani Leo kesho unnaanza Kuomba pesa . Hii ni ulimbukeni ya wadada wengi wa Tanzania wanaendekeza Njaaa mno. Huyu hafai kuolewa hata kidogo
 
Mtu anavua chupi kwa sababu ya elfu 7 heeeee[emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie kuna wanawake wanateseka sana

Jmn si umpe tu bila kumla…

Yaani huyo ana shida Sanaa amekwama ila daah tunaji sacrifice sana kwenye haya maisha [emoji24]

Hiyo ni nauli tu au vocha jamani
Maisha magumu sana
 
Back
Top Bottom