Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Ujengewe Sanamu kando ya Daraja la Mfugale mkuu
 
Basi ndio tukubaliane, hakuna kuombana pesa mpaka pingu zifungwe! Beyonce anaimba akituambia "I ain't your momma" nasisi tunasema we ain't your fathers

Ni Jlo sio Beyonce
 
Na hawa wadada wawe makini na hivi viela wanavyoomba kila siku watu wa uko juu wakigundua sisi mabwege tunazituma Sana zitaanza kukatwa TOZO shauli zutu na zenu ohooo!
 
Ah usijali kukoma kwa zamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja tukisha waunganisha kwa grid ya taifa na kuwafanya single maza ndio tuone nani atacheka wa mwisho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Leo huna mbususu ya kupiga nin
 
Kwa maana hiyo hata siku moja usikubali mke wako kupokea zawadi au kuomba chochote kutoka kwa mtu mwengine asiyekuwa maharimu wake.Kwa sababu mwisho itakuwa ni habari nyengine.Maharimu wake ni kama baba.mtoto.kaka na wengineo walioorodheshwa kwenye Qur'an.Hao huna haja ya kuuliza ni haki yake na yenu nyote kupokea.
Nina wasi wasi huyu jamaa aliyeombwa pesa kidogo nguvu zikamuishia atakuwa ana jinsia na hisia za kike kidogo mwilini mwake.Au tusimlaumu kwa sababu muombaji kumbe ni malaya tu.
Ukiwa huna pesa ukiombwa na mkeo mwambie tu huna na unakwenda kutafuta.Kama ameomba nyingi patana naye ili apunguze sio kuishiwa nguvu.
 
Tafuta wa size yako

Wacha kulialia na makunguru manyonya damu
 
Sister nakustahi tu sababu Quran inatutaka tuwachukulie hivyo mlivyo nyie wanawake.
 
Sema huu ujasiri nauhitaji sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…