Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa na anafanya kazi.

Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza shida zake kwangu. Huyu dada alianza kunitoa hamu mapema sana. Nikawa hata nikikaa naye sijisikii hamu. Ila nimemchana liwe funzo kwake na wenzie.

View attachment 2332307
Ujengewe Sanamu kando ya Daraja la Mfugale mkuu
 
Basi ndio tukubaliane, hakuna kuombana pesa mpaka pingu zifungwe! Beyonce anaimba akituambia "I ain't your momma" nasisi tunasema we ain't your fathers

Ni Jlo sio Beyonce
 
Na hawa wadada wawe makini na hivi viela wanavyoomba kila siku watu wa uko juu wakigundua sisi mabwege tunazituma Sana zitaanza kukatwa TOZO shauli zutu na zenu ohooo!
 
Ah usijali kukoma kwa zamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja tukisha waunganisha kwa grid ya taifa na kuwafanya single maza ndio tuone nani atacheka wa mwisho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Leo huna mbususu ya kupiga nin
 
Mke wangu mmoja anaomba pesa kila wakati nikiwa nazo nampa na nikiwa sina namueleza na hanibughudhi tena.Uzuri na mimi ananipa kila ninachostahiki kutoka kwake na nimegundua zile pesa anazoniomba siku nikiwa na shida kweli ananirudishia zote kilaini kabisa.Kwa kweli kuomba kitu mwanamke kwa mwanamume au mumewe haina maana ya unyonge au ushamba isipokuwa hii ni tabia ya kike kujikaribisha kwa mumewe.
Kwa maana hiyo hata siku moja usikubali mke wako kupokea zawadi au kuomba chochote kutoka kwa mtu mwengine asiyekuwa maharimu wake.Kwa sababu mwisho itakuwa ni habari nyengine.Maharimu wake ni kama baba.mtoto.kaka na wengineo walioorodheshwa kwenye Qur'an.Hao huna haja ya kuuliza ni haki yake na yenu nyote kupokea.
Nina wasi wasi huyu jamaa aliyeombwa pesa kidogo nguvu zikamuishia atakuwa ana jinsia na hisia za kike kidogo mwilini mwake.Au tusimlaumu kwa sababu muombaji kumbe ni malaya tu.
Ukiwa huna pesa ukiombwa na mkeo mwambie tu huna na unakwenda kutafuta.Kama ameomba nyingi patana naye ili apunguze sio kuishiwa nguvu.
 
Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa na anafanya kazi.

Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza shida zake kwangu. Huyu dada alianza kunitoa hamu mapema sana. Nikawa hata nikikaa naye sijisikii hamu. Ila nimemchana liwe funzo kwake na wenzie.

View attachment 2332307
Tafuta wa size yako

Wacha kulialia na makunguru manyonya damu
 
Sister nakustahi tu sababu Quran inatutaka tuwachukulie hivyo mlivyo nyie wanawake.
 
Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa na anafanya kazi.

Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza shida zake kwangu. Huyu dada alianza kunitoa hamu mapema sana. Nikawa hata nikikaa naye sijisikii hamu. Ila nimemchana liwe funzo kwake na wenzie.

View attachment 2332307
Sema huu ujasiri nauhitaji sana
 
Back
Top Bottom