rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Kaka huyo piga Ukuniii jikataeeee.. Nimegundua ukijidai Gentleman kusolve shida za kila mwanamke utaishia kupoteza helaa na kuwa maskini bila kuambulia hataa Utamuuu...!! Mwanamke mdangaji utamjua tuuu huwa anaweka mazingira ya kukutamanisha kukupa uchi alafu anakuchapa na shida zakeeee ukiwa falaa utampa bila kumuomba uchi ukidhani utakuwa umetumia mtatizo yake kumlaa ila Noo hivyp ndo inavyotakiwa maana Mwisho wa Siku ATAKUONA MJINGAAA..sophy27 huwajui wanawake wenzako vizuri sisi Wanaume ndio tunakutana na vimbwanga vya hatari binafsi nilikuwa haya masuala napingana nao ila baada ya kunikuta nimeona nikae upande wa Wanaume wenzangu unajua best shida si kwamba Wanaume ni wabahili au wanaroho mbaya tabia za wanawake wengi zimewageuza Wanaume kuwa hivi ngoja nikupe kilichotokea kuna kipindi fulani nilikuwa natafuta demu wakuanzisha nae mahusiano nikabahatika nikachua namba ya demu mmoja hivi nikawa nachart nae baada ya kupita muda fulani nikamuomba out hapo sijamtongoza kumbuka Hilo akaniambia nimtumie nauli aje sikuwa na hiyana nikamtumia 5000 ya nauli demu hakutokea akaniambia amepata ajali mguu wake umevunjika akaniomba hela ya matibabu nikampa elfu 40.
Baada ya kupita kama wiki 2 hivi nikaomba Tena miadi hii alikuja tunakutana sehemu kama sijakosea ingawa sikumbuki vizuri ila nachokumbuka demu alikunywa kuna kinywaji hivi kinaitwa sijui bava nini sijui alipiga kama 6 wakati mimi nilikunywa coca mbili maana mimi sio mpenzi wa bia na tukapiga msosi najinsi nilivyomcheki kwenye miguu yake hata alama yoyote ya jeraha ila nikaamua kupoteza baada ya kumaliza nikataka kumwambia hisia zangu kwake kabla ya hapo akaanza kuniambia shida zake Tena eti anadaiwa kodi ya miezi 2, akaongeza kuwa mzee wake anataka kuja dar hela yeye hela hana, dawa ya mguu wake zimeisha anaomba nimuongezee Tena anunue nyingine mwisho akasema mdogo wake mdogo anadaiwa hela ya ada yeye ndio anamtegemea so nimsaidia vitu vyote hivyo kaongea kwa wakati mmoja tufanye sophy27 wewe ungekuwa mimi kwa hayo mazingira utamchuliaje huyo manzi?
DeepPond
rikiboy
mzabzab
UKWELI MCHUNGU mwanamke ukimsaidia bila kumlaa anakuona wew ni falaaa na looser.