Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

sophy27 huwajui wanawake wenzako vizuri sisi Wanaume ndio tunakutana na vimbwanga vya hatari binafsi nilikuwa haya masuala napingana nao ila baada ya kunikuta nimeona nikae upande wa Wanaume wenzangu unajua best shida si kwamba Wanaume ni wabahili au wanaroho mbaya tabia za wanawake wengi zimewageuza Wanaume kuwa hivi ngoja nikupe kilichotokea kuna kipindi fulani nilikuwa natafuta demu wakuanzisha nae mahusiano nikabahatika nikachua namba ya demu mmoja hivi nikawa nachart nae baada ya kupita muda fulani nikamuomba out hapo sijamtongoza kumbuka Hilo akaniambia nimtumie nauli aje sikuwa na hiyana nikamtumia 5000 ya nauli demu hakutokea akaniambia amepata ajali mguu wake umevunjika akaniomba hela ya matibabu nikampa elfu 40.

Baada ya kupita kama wiki 2 hivi nikaomba Tena miadi hii alikuja tunakutana sehemu kama sijakosea ingawa sikumbuki vizuri ila nachokumbuka demu alikunywa kuna kinywaji hivi kinaitwa sijui bava nini sijui alipiga kama 6 wakati mimi nilikunywa coca mbili maana mimi sio mpenzi wa bia na tukapiga msosi najinsi nilivyomcheki kwenye miguu yake hata alama yoyote ya jeraha ila nikaamua kupoteza baada ya kumaliza nikataka kumwambia hisia zangu kwake kabla ya hapo akaanza kuniambia shida zake Tena eti anadaiwa kodi ya miezi 2, akaongeza kuwa mzee wake anataka kuja dar hela yeye hela hana, dawa ya mguu wake zimeisha anaomba nimuongezee Tena anunue nyingine mwisho akasema mdogo wake mdogo anadaiwa hela ya ada yeye ndio anamtegemea so nimsaidia vitu vyote hivyo kaongea kwa wakati mmoja tufanye sophy27 wewe ungekuwa mimi kwa hayo mazingira utamchuliaje huyo manzi?
DeepPond
rikiboy
mzabzab
Kaka huyo piga Ukuniii jikataeeee.. Nimegundua ukijidai Gentleman kusolve shida za kila mwanamke utaishia kupoteza helaa na kuwa maskini bila kuambulia hataa Utamuuu...!! Mwanamke mdangaji utamjua tuuu huwa anaweka mazingira ya kukutamanisha kukupa uchi alafu anakuchapa na shida zakeeee ukiwa falaa utampa bila kumuomba uchi ukidhani utakuwa umetumia mtatizo yake kumlaa ila Noo hivyp ndo inavyotakiwa maana Mwisho wa Siku ATAKUONA MJINGAAA..

UKWELI MCHUNGU mwanamke ukimsaidia bila kumlaa anakuona wew ni falaaa na looser.
 
Mwanzo wa ngoma ni lele. Soma uelewe. Mtu anayefanya kazi,anaishi kwa wazazi. Kuonana nami ndani ya 3 days anitangazie shida....sitaki wanawake wenye shida hizo. Na sikuwa na lengo la kumla. Soma mbona imeandikwa kwa kiswahili chepesi tu?inaeleweka.nami nimemjibu kiwepesi kabisa...[emoji16] Muwe na subra basi. Siyo kudhani kila mtu ananunua utelezi.
Hata kama asipokutangazia shida ndani ya muda mfupi ila atakutangaziaa tuu siku amini...!! Anaweza sema yupo tofauti sijui anafanya kazii shenziii tapelii tu hiloooo linakuvutaaaa
 
Ila kilamtu anapta kulingana na alivo japo wengine majaribu wanayapitia pia japo ni wachache,mwanaume uko busy na kazizako ukirudi umechoka unapumzika ukipata mda unafanya mambo ya kueleweka unapiga story na washkaji zako huyu mdangaji mnakutna nae wapi maana navojua wanakuwaga sehemu za kuwatega wapite nao
Uko Sahii kabisa[emoji4]
 
Kuna mmoja alikuaga ananiomba buku mbili mara buku tatu, nikawa nampa fresh tu kumbe text hiyo hiyo matuma kwa watu kadhaa.

Siku akakosea meseji akatuma za masela wawili kwangu, nikanyamaza zangu kimya tu, hakuniomba tena.
 
Aisee...uanaume wangu hauwi defined na mwanamke mdangaii.yaani kwa aina yako hiyo acha waniite shoga,mvulana n.k but siwezi kutaka onesha upumbavu nikifananisha na uanamue. Hata uanamke si kutangaza njaa...zamani haikuwa hivi. Wanawake walikuwa wanajisitiri. Siyo nyie wa sasa. Mnauza sehemu zenu za siri.
Nakuheshimu sana sitaki tufikie kwenye matusi kma unatongozaga wauza k ni wew na hakunasehemu nimtukna nimetoa mawazoyngu tu km walivofanya wengine tuheshimiane
 
Kumbe wew kama@mzabzab tu anahamasisha wenzie wagegede kumbe yeye kaona zake single mother😂😂😂😂anaitwa baba wa kambo anawalea watoto wake safi🤣🤣
mzabzab
Haha sasa mimi hata mzazab simjui, ila nawahamasisha vijana kujikomboa kwenye shimo la tewa😂😂😂
 
Haha sasa mimi hata mzazab simjui, ila nawahamasisha vijana kujikomboa kwenye shimo la tewa😂😂😂
Wakat mwenyew umeshalipa ela ya king'amuz saa hii mtu aangalie Azam tv🤣🤣🤣
 
Umeombwa Elf 10 tu umekimbia Kuja kufungua uzi,.... Ungeombwa laki je...... Khe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila mkuu ukishachukua namba ya mwanamke hayo mambo utegemee kabisa Kama hutak kuombwa usitoe namba Hawa madem wananjaa Kama wako Somalia
 
Wewe ndio unajua kuombwa million leo[emoji23][emoji23][emoji23], nikichukuaga bank statement haki huwezi amini zinazidi ila ndio lazima uwakomboe wenzako wasifike uko. Hawa wanawake wewe waone tu hivyohivyo.
Ukitoa pesa ndio zinakuja nyingine mkuu, kiuhalisia wanaume tumeumbwa kutoa na wao wameumbwa kupokea.
 
Back
Top Bottom