Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Nami nmetoa mawazo yangu kulingana na yako. Mbona sijakutukana?KUNGURU SI ANAFAHAMIKA KWA RANGI NA SAUTI YAKE? unamjua tu si huwezi mfananisha na njiwa.so mimi kunguru nitampa mizoga na njiwa nitampa mtama. 😁😁😁😁
Umepanick sana 😂😂😂Polesana ndo maisha
 
Sasa hutaki tena ujibiwe? Yaani unataka mtu anyamaze wakati umeandika? Watoto wa nne kila mmoja ana baba yake si udangaji huo? Mi nakujibu kama kawaida unapotetea wenzako na sisi tunakushauri kuwa hayo si maisha. Unapomzalia kila mwanaume mtoto unadanga pia kwa style hiyo ya kuhudumiwa watoto. Au wote umemsingizia mmoja?😁 Maana wanawake wa aina yako huwa hamna aibu kabisa....
😂😂sijasema unyamaze ila punguza kupaniki
 
Kwa kifupi ni kwamba pesa hatutoacha kuwaomba, ziwe kubwa au ndogo ndogo. Kwahiyo punguzeni hasira wapendwa, mambo ya kawaida tu hayo. Hamtaki basi hameni jinsia. Mtupunguzie kelele sasa.
 
Ngoja waje na povu 😂
Tangu wameanza kumwaga hayo mapovu yao walifanikiwa kwa lipi? Wasitupigie kelele watafute pesa. Nguvu za kiume zitatoka wapi wakati elfu kumi tu mishipa ya fuvu imekaza!!!

Kama nawaoma wakiniandikia gazeti🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wanaume wakiwa kwenye vijiwe vya kahawa ban [emoji1787][emoji1787] kila mmoja haongi yaan! Uzur adui wa mwanaume ni mwanaume yaan, unaona elf 10 nyingi mwingine anatuma laki [emoji23][emoji23] ndoivo ilimradi mtt wakike apate kuishi.
 
Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa na anafanya kazi.

Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza shida zake kwangu. Huyu dada alianza kunitoa hamu mapema sana. Nikawa hata nikikaa naye sijisikii hamu. ila nimemchana liwe funzo kwake na wenzie.

View attachment 2332307
hizo unaacha bila kujibu(unazimia kwenye gia) halafu siku ya siku unawasha na kutembea(inaitwa pesa kwa mbususu ana kwa ana chumbani) sababu kishaonesha udhaifu wake mapema!
 
Nina mke kabisa. Ila wapembe i ndio ukiona text ujue hela ya salon luku kuumwa.
Mke unae. Halafu ukiombwa pesa na mdada mdangaji unayevizia papuchi yake unamshsngaa.
Upo serious kweli mkuu?
 
Mke unae. Halafu ukiombwa pesa na mdada mdangaji unayevizia papuchi yake unamshsngaa.
Upo serious kweli mkuu?
Namshangaa kivipi tena. Mie wala sishangai na kuwa nawapa sana maana mie sharti langu ni moja tuu. Tambua kuwa ninatomber wanawake wengi mambo ya kuleta jealousy sitaki
 
Hahha katibu wa kikao Cha kuwaambia wenzie wasioe huyu hapa😂😂😂
Wasioe kweli mie mwenyewe najuta sana mwa nini nimeoa. Furaha 20% tuu...zingine ni majuto matupu. Nipo kwenye ndoa kwa sababu mwanamke huyu anajua kutunza watoto basi.

Wakishafika umri mzuri tunaachana na wife kila mtu akaishi kivyake
 
Tangu wameanza kumwaga hayo mapovu yao walifanikiwa kwa lipi? Wasitupigie kelele watafute pesa. Nguvu za kiume zitatoka wapi wakati elfu kumi tu mishipa ya fuvu imekaza!!!

Kama nawaoma wakiniandikia gazeti🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sio gazeti tu wengine wanatamani kukurushia ngumi sema hawakuoni tu😂😂😂
 
Tangu wameanza kumwaga hayo mapovu yao walifanikiwa kwa lipi? Wasitupigie kelele watafute pesa. Nguvu za kiume zitatoka wapi wakati elfu kumi tu mishipa ya fuvu imekaza!!!

Kama nawaoma wakiniandikia gazeti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1732]
 
Wasioe kweli mie mwenyewe najuta sana mwa nini nimeoa. Furaha 20% tuu...zingine ni majuto matupu. Nipo kwenye ndoa kwa sababu mwanamke huyu anajua kutunza watoto basi.

Wakishafika umri mzuri tunaachana na wife kila mtu akaishi kivyake
😂😂😂Amna lolote hutoki hapo Kaa usubiri uzee tu
 
😂😂😂Amna lolote hutoki hapo Kaa usubiri uzee tu
Ah wapi uzee nakula na vibinti vya miaka 25-30. Hapo unajua vitega uchumi vinatema tuu kazi yako wewe ni kulala kitandani mrembo ahangaike na de libolo
 
Back
Top Bottom