Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Ninanmpango wa kuongeza wa tano ujue 😂 usinitishe
Si ndo kitega uchumi.....🤣🤣🤣 Kuna dada mmoja wamefika 6 mashine nayo imechoka baba za watoto wamebadili lines.... Sasa anazunguka tu kama mbwa koko mtaani. Mwenye 10,000 anakula...mwenye 20,000 anakula...basi ili mradi tu sandakalawe....🤣
 
Utaliwa naniii shauri yako penda kutangaza njaa.... 🤣
Lete namba ya binti wanaume tusemezane naye.

Mtu kakuomba senti kiasi kidogo unapiga mayowe ya KANTANGAZE.🤣🤣🤣

Kumbe bado unamtaka na huna hela. Lete namba hiyo
 
Lete namba ya binti wanaume tusemezane naye.

Mtu kakuomba senti kiasi kidogo unapiga mayowe ya KANTANGAZE.🤣🤣🤣

Kumbe bado unamtaka na huna hela. Lete namba hiyo
Na ndipo alipokosea....mwanamke wa kuomba 10 elfu ni kilaza. Na huku anafanya kazi... Wa hovyo sana. .. nimemwambia nitamwanika tena... Ila hii mbinu huwa kweli inakusaidia? Au ndo unapata akina mwajuma ndala ndefu?🤣
 
Lete namba ya binti wanaume tusemezane naye.

Mtu kakuomba senti kiasi kidogo unapiga mayowe ya KANTANGAZE.🤣🤣🤣

Kumbe bado unamtaka na huna hela. Lete namba hiyo
Namba hatoi anakazi ya kulalamika 🤣🤣🤣
 
Na ndipo alipokosea....mwanamke wa kuomba 10 elfu ni kilaza. Na huku anafanya kazi... Wa hovyo sana. .. nimemwambia nitamwanika tena... Ila hii mbinu huwa kweli inakusaidia? Au ndo unapata akina mwajuma ndala ndefu?🤣
Ni ushamba wako tu mkuu hakuna kingine hapo.

Balehe ya pili utakuwa umeelewa hawa jinsia ya ke wanahitaji sana kuwaelewa na kwenda nao kwa akili
 
Pisi kazi mbovu mgerasi. Kunae moko nilikutana nayo kwenye ferry nika download namba ikakubali nakuja kutana nayo kuitoa lunch ya maana ikakata kama laki siku naiita ghetto ikaja nikakata tena kana 50 nataka kula mzigo inagoma nikaiambia haina kelele.

Saivi imebaki tu kunipigia na ku text desperately wala sina time nayo naona ilitaka nianze mambobya kuch kuch hontae bombay india.
Mia Hamsa?na ikaja home ikatoka???Sina huo utanzania aisee.
hela ngumu sana!
 
Pisi kazi mbovu mgerasi. Kunae moko nilikutana nayo kwenye ferry nika download namba ikakubali nakuja kutana nayo kuitoa lunch ya maana ikakata kama laki siku naiita ghetto ikaja nikakata tena kana 50 nataka kula mzigo inagoma nikaiambia haina kelele.

Saivi imebaki tu kunipigia na ku text desperately wala sina time nayo naona ilitaka nianze mambobya kuch kuch hontae bombay india.
We ndio fara
 
Ni ushamba wako tu mkuu hakuna kingine hapo.

Balehe ya pili utakuwa umeelewa hawa jinsia ya ke wanahitaji sana kuwaelewa na kwenda nao kwa akili
Mkuu, kuhonga ovyo ndio ushamba. Ni ushamba kutoa pesa bila mahesabu, kwanza unaingiza shilingi ngapi ili uwe mtu wa kutoatoa ovyo? Kama una ntu wako endelea kusaidiana nae lakini mtu mlikutana jana leo anaomba "hela ya kula", huyo hafai hata kidogo. Unakaribisha masikini na umasikini katika maisha yako. Ndio maana huoni mtu wenye uwezo wake akadate na watu wa "hovyo ", wanaoomba buku buku ili wakidhi haja zao.

Kuhonga ovyo ni ushamba!!
 
Hakika hakika.
Sasa kama unashindwa kuhonga kistaarabu ndo ufikie kumdhalilisha mtu mbele ya jamii?

Kwani wakipeana dudu huko wanakuja kujitangaza hapa kuwa tumechakatana?

Ukishindwa kumpa, mjibu kistaarabu na siyo kumtangaza kama kakata kimeo bana
 
Namba hatoi anakazi ya kulalamika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sophia kumbe we mtata hivi

Kale kapicha kako nikikatazama unaonekana kapole pamoja na kuziba na emoji

Yes ninacho nilikasave kwa matumizi yangu binafsi siku nikienda kwa babu kule kwetu itilima ligangabilili
 
😂😂😂Mm mpole sana🚶
Ukiniendea Kwa Babu Yako nitazid kuwa lofa
 
Ukishatongoza na ukakubaliwa bas ukubali majukumu na kujiweka position gani Kwa mwanamke inategemea unavomtreat wew sidhani ukimjali mwanamkewako atakuomba hta mia sabbu unajali hawez kuomba elf 5

Mi naona issue ni ndogo, ukimpenda binti muoe akikataa ndoa bas uyo muhuni piga chini na akikubali atulie mfanye maisha nakwenyewe akizingua hasa kucheat ni risari saba za kichwa kufidishia ghalama zako maana huwezi kumwolea mtu we ughalamike ye apewe for free...

ila hii issue ya kutoa toa ela ovyo mtu humjui mmekutana mjini mjini ndo maana wadada watakua wanapendeza wahongaji wanachakaa maana unakuta uyo dem unampa elfu50 afu unajisifia wakati wazaz walio kulea na ndug wengine kukusomesha uko kikijini wakikuomba elfu 30 unakunja uso na maelezo mengi....shame on us mungu atuokoe na aya mapepo ya uzinifu kununua zambi kwa ghama kubwa ivo.
 
Mwanamke wa kuomba 10,000 huyo hafai. K yake itakuwa imeshachakaa sana... Mwanamke mdangaji standard huanzia angalau 100,000 plus. Wa 10,000 hana tofauti na wale wa Buguruni Rozana....😁
Utajua mwenyewe bwana we! We tafuta pesa ili tuziombe🤣🤣🤣🤣
 
Vijana msidhani kutoa pesa ndio kipimo cha upendo, tena kutoa pesa kwa mtu ovyo bila bajeti. Mtu anasema hilo teni kitu gani wakati hana uwezo wa kuzalisha hilo teni.

Lakini pia kama tutajifunza kuishi kwa bajeti hizi mambo hazitatusumbua. Tatizo letu tunaishi tu ili mradi, hatuangalii maisha ya kesho. Hawa hawa wadada wakiona umepigika wanakukimbia.

Usitumie pesa zako kizembe, bila mipango, usipeleke pesa zako sehemu ambayo haina faida kwako. Kesho yako inategemea sana maamuzi yako ya leo, unaweza kuona 10k ndogo kama wadada wengi wanavyoenda kujibrand, ila hiyo 10k ukijumlisha na nyingine utaona faida yake baadae.
Well said nime-screenshot then nimeweka What'sApp status.
 
Back
Top Bottom