Amenikosea badala ya kuniomba msamaha kakaa kimya tu

Easy Way...Kwanini usiamini ndo mmeachana hivyo! au ndo unasubiri kuambiwa 'sikutaki'?
 
utakuwa mchaga wewe
teh teh hahahahah
 
Mpaka leo bado mnalia lia mapenzi akizingua unazingua maumivu utakayopata baadae kwa kuendelea na huyo kiumbe ni makubwa kuliko sasa hivi.
 
Mikausho mikausho tu.ukianza watu wanamaliza [emoji16][emoji16]ulikuwa unatingisha kibiriti ee[emoji2957][emoji2957]pole
Mwenzake kamwaga njiti zote. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weee huu uandishi ni wako? Sikatai ninaandika vibaya mie ila wee ni kichefu chefu, khaaah
Na unavojinunisha ndo kabisaaa, naunga dots woiiiiiiih.
 
Mtu abembelezane na maisha halafu akubembeleze na wewe...
Unakwama wapii...nani alikushauri kwamba huwa unamchunia umpendae?? Unaweza mchunia ikawa ndo kimoja...
 
kama unampenda utamtafuta ila kama humuelewi huna haja ya kujisumbuaaa..
 
Ukiona hutafutwi ujue yupo mwenzio anaetafutwa....vijana muwe na tabia ya kuzisoma alama na nyakati kwanini unyanyasike kisaikorojia kwa sababu ya mapenzi?....tambua na ufahamu kuwa wewe ni wa thamani sana....
 
Pole sana huenda alikuwa anatafuta pa kutokea, jaribu kumtafuta kabla hujachelewa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…