Ameniomba Msamaha lakini ameniwekea Masharti

Mijitu mijinga mijinga kama wewe na huyo mwanamke wako aisee haiwezi kutia mguu nyumbani labda kama huyo mwanamke hana ndugu wa kiume….yani uwadharirishe watu kiasi hicho mwende malalane weee halafu ndio mnafikiri kuja kuomba msamaha aiseee mimi siwezi shiriki huu ujinga kamwe hata wazazi wakishiriki mimi kamwe sitoshiriki
Chochote
 
Daah kama ni ivo ako na shida serious sanaa
 
Hahahhahahaha...punguza hasira
 
mimi nilimwambia anajikuta ana mapenzi ya kweli kwa rafiki yake wakati mtoto wa watu kadoda hapo kumsubiri miaka kibao amlipie mahariii... anyway naona demu hana soko ndo maana mwana anaaamua kumchezea akili tu na jamaa hana mpango na huyu demu.
 
mimi nilimwambia anajikuta ana mapenzi ya kweli kwa rafiki yake wakati mtoto wa watu kadoda hapo kumsubiri miaka kibao amlipie mahariii... anyway naona demu hana soko ndo maana mwana anaaamua kumchezea akili tu na jamaa hana mpango na huyu demu.
Ngoja siku akipigwa tukio atamkumbuka huyu Dada
 
mwanamke hana chaguo yani itakuwa umrii umeenda sanaa... OPTION ANAYOSTAHILI JAMAA NI KWENDA KUTOA MAHARI bhasi... sio huu upuuzi wa kwenda kuchosha wa wazazi na misamahaa ya kisengeremaaa ufalaa tu.
 
Pole,umeongea kwa hisia sana mkuu
 
Mkuu wapo,tena la huyo mbona dogo
 
Shukran mkuu
 
Ni SAHIHI Fanya hivyo maana ulishaahiidi utatoa mahari muda Fulani alafu ukachelewesha ila uwe na mahari mkononi unapofanya hivyo.
 
[emoji1787][emoji1787] daah! Mwana alizingua bigtime
 
Hope wewe ni mhaya labda, au kabila lolote la kanda ya ziwa, unatabia ya kujisikia, kujiona sio mkosaji lakini umefanya vizuri kuvunja hayo mahusiano Acha huyu binti aumie lakini kesho yake iwe bora.

Yaani inavyoonekana hayo mahusiano ilikua kama hisani kwa binti, kiukweli hukumpenda binti unajibu kama unawakomesha uliowaomba USHAURI lakini jikague hauko sawa.

Uliandika thread hii kwa ajili ya nini? Kutaka kusikia kile unapenda!!!? Au ulichokua umepanga??? Yes ulikosea kutokutoa taarifa kwa wazazi wa huyo binti baada ya kupata hiyo dharura, na jambo jema kwa mngwana ilikua ni kuomba msamaha full stop.

Imagine binti yako apate mchumba ipangwe tarehe ya kutoa mahali then kimya harafu hakuna hata neno samahani huyo mtu utamwonaje???! ! Kila la kheri kwa safari yako mpya ila Acha kujikweza.
 
WANAUME NAWAITA MSOME HAPA NA MUELEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…