Amenipa mdogo wake

Amenipa mdogo wake

Mkuu komaa na dada yake huyo,nipe namba za mdogo wake pm,sisi wanaume huwa hatubaniani
 
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe,halafu akishapitiwa ataanza kusema yani wanaume wote ni waongo na malaya.Hivi mpk unafikia umri huo,huwezi kujua kuwa the more unavyompa mwanaume room ya kuwa karibu na wewe na kukuletea utani mwisho wa siku utaingia line,tena kwa picha hii ninavyoiona huyu jamaa atakuja kuwapitia wote mtu na dada yake...
 
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe,halafu akishapitiwa ataanza kusema yani wanaume wote ni waongo na malaya.Hivi mpk unafikia umri huo huwezi kujua kuwa the more unavyompa mwanaume room ya kuwa karibu na wewe na kukuletea utani kuwa anakutaka hujajua kuwa mwisho wa siku utaingia line,tena kwa picha hii ninavyoiona huyu jamaa atakuja kuwapitia wote mtu na dada yake...
Mdogo mtu tayari ila nimemwambia asimwambie dada yake
 
Naona kuna shida kwenye kutongoza kwako hasa kwenye kuomba mbunye.

Anadai ana mtu wake lakini akiwa na shida wewe ndio wa kwanza kuombwa msaada unafeli wapi mzee baba. Huo ni uzembe mkuu

Sasa omba mbususu direct usiende indirect akikataa piga chini

Haiwezekani mwanetu unatoa misaada kwa demu halafu hautunukiwi mbunye
Mzee wa kupambania kweli umenipambania mkuu
 
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe,halafu akishapitiwa ataanza kusema yani wanaume wote ni waongo na malaya.Hivi mpk unafikia umri huo huwezi kujua kuwa the more unavyompa mwanaume room ya kuwa karibu na wewe na kukuletea utani kuwa anakutaka hujajua kuwa mwisho wa siku utaingia line,tena kwa picha hii ninavyoiona huyu jamaa atakuja kuwapitia wote mtu na dada yake...
Wakati mwingine ndo nia yao ili wale pesa vzr.
 
Back
Top Bottom