Amenisadia sana, lakini nataka nimuache niolewe na HB. Namuachaje kiustaarabu?

Amenisadia sana, lakini nataka nimuache niolewe na HB. Namuachaje kiustaarabu?

hakikisha unarudisha kila aina ya kile alichokipoteza juu yako, misiba misiba sisi tumechoka.
 
Sasa anipige kisu kwasabb gani? Anataka ku-force mapenzi, kwani tulizaliwa naye?
Atakupiga kisu kwa kumwibia. Ulijidai kumpenda kumbe ulipenda pesa zake. Post yako inaoinyesha kulikuwa hakuna mapenzi tangu mwanzo. Afadhali hatas uongenyesha ulikuwa unampenda, lakini baada ya kugundua mambo fulani ndiyo ukaona hamuendani. Wewe ilivutiwa na pesa yake, kwa vile umeifaidi na imekufanya umekuwa mtu, sasa unataka kuondoka. Of cause kuondoka kwa mtu usiempenda na halali. Lakini kwa nini ule mali yake tangu mwanzo wakati ulijuwa ni mshamba na ana sura mbovu. Si umchunguze kwanza kabla ya kuanza kumtia hasara? Tena ningekusifu saana kama ungetuambia, mlipokutana ulianza kumchunguza na baada ya kugundua kuwa hamuendani unataka ushauri namna ya kumuacha. Na utujulishe kuwa hakuna pesa uliyomlia, zaidi zile za "out" kama vile lunch, vizawadi vidogo, kukusaidia nauli, au pesa ndogo ndogo hapa na pale, a,mbazo wapenzi hupewa. Lakini unakiri kuwa amekusaidia saana. Ungeaza kukubali misaada yake ya kukuboresha baada ya kuona mnaendani.
 
utujulishe kuwa hakuna pesa uliyomlia, zaidi zile za "out" kama vile lunch, vizawadi vidogo, kukusaidia nauli, au pesa ndogo ndogo hapa na pale, a,mbazo wapenzi hupewa. Lakini unakiri kuwa amekusaidia saana. Ungeaza kukubali misaada yake ya kukuboresha baada ya kuona mnaendani.
Mkuu pesa ni pesa tu. Kama unaona ni halali kula pesa za simu, lunch na zawadi nyinginezo ndogo ndogo, kwann isiwe halali kula hela ya gari na nyumba?

Kumbuka tunatofautiana vipato. Wengine hela ya kuhonga simu ni nusu ya kipato cha mwaka mzima na wengine hela ya kuhonga gari ni makusanyo ya wiki moja.
 
Akiondoka na UHAI WAKE?

UNASHAURI AU UNAROPOKA TU??
Mbona umesema mapenzi hayalazimishwi. Na sasa yeye akiondoka na uhai wako. Kwa kifupi usingekula vya kwake kabla ya kuona kama mnaendana. Hii ya kufumaniwa ni nzuri maana atakuacha amekuacha kwa kukufumania, ambavyo hata wewe ungeweza kufanya hivyo. Au mtafute rafiki yako amdanye ukimkuta naye umsingiozie kumfumania. Maana hii haitamfanya awe na kisasi, ila atalalamika kumuonnea na hatajuwa ulikuwa mpango. Lakini angalia, rafiki yako anmawewza akapenda na kuchukuwa, ujitayarishe kutomchukia wakati yako yakienda vibaya.
 
Ushauri konk Sana huu
 
Niliwahi kuitolea maelezo account hii. Nikasema Sexless ni account ya taasisi inayojihusisha na mambo ya sex and sexuality. Siyo account ya mtu.
Mambo vipi kampuni ya seksiii and sekshualidii

Naomba Hiko kifaa mnachotumia akishika jinsia "ke" yaan ya kike anitafute tuongelee masuala ya seiksiii
Asante
 
Olewa wewe wanaume wa kweli ni wachache. Wewe chezea tu hiyo nafasi.
 
Back
Top Bottom