Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 688
- 1,126
Kazi ipoAcha Imani potofu wewe. Usikute hapo umening'iniza hirizi kiunoni kwako!!! Mxiuuuu.
Nikajua unacho cha maana kumbe unaamini ushirikina!!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ipoAcha Imani potofu wewe. Usikute hapo umening'iniza hirizi kiunoni kwako!!! Mxiuuuu.
Nikajua unacho cha maana kumbe unaamini ushirikina!!!?
Wewe jamaa una dalili zote za kuwa shoga.Jamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori.
The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri, lkn huo muonekano usiopendeza kwenye picha unaninyima raha.
Kanifanyia makubwa sana hapa mjini. Nilimuahidi mwakani ndiyo tutaoana, sasa hivi ana-push kwamba apeleke barua home kwetu after two weeks, ndiyo maana nataka nichomoe kiaina.
Nipeni mbinu. Nimpe makavu laivu kwamba wewe mpori pori, nim-block ama nisijibu wala kupokea sms zake?
Hii account inamilikiwa na mapepo, muda mwingine pepo jike linapost , muda mwingine pepo dume, ili mradi fujo tu.Mara uoe mara uolewe nyie [emoji23][emoji23][emoji23]
Unapingana na kanuni za kuingia ktk ndoa. Mojawapo ni kuchunguzana kwa kina. Mojawapo ya mambo yanayochunguzwa ni uwepo ama muendelezo wa hisia baina ya wapenzi.Kwanza umepotezea muda. Pili unamlia au ulimlia mali na pesa huku ukijua huna hisia zake. Sasa unataka upewe mbinu za kumuacha.
😂😂😂Hii account inamilikiwa na mapepo, muda mwingine pepo jike linapost , muda mwingine pepo dume, ili mradi fujo tu.
Haogopi jela yeye ??Mwambie ili upigwe kisu ufe upotee...
Hujielewi kabisa! Eti SHERIA ZIPO! Sheria zinawalinda walio hai. Ukipigwa kisu ukafa hizo sheria zitakulindaje zuzu wewe!!Unapingana na kanuni za kuingia ktk ndoa. Mojawapo ni kuchunguzana kwa kina. Mojawapo ya mambo yanayochunguzwa ni uwepo ama muendelezo wa hisia baina ya wapenzi.
Sasa baada ya uchunguzi kufanyika nn kinafuata? Bila shaka ni maamuzi ya kuendelea ama kusitisha mahusiano.
Ndiyo nataka unisaidie mbinu nim- damp bila ya kumuumiza kihisia, maana yeye amekolea Sana. Mm hisia kwake sina tena.
Na wala usinitishie kwamba atanidhuru.....Sheria zipo.
Kuhusu gharama, mm sikuwa namwibia. Grow up bro. Ktk dunia ya leo siyo kwamba tukianza wote lazima tumalize wote.
Na kama unatupa chai utakufa keshokutwaHaogopi jela yeye ??
Iga ufe. Jasho la mtu haliliwi kizembe hivyo siku hizi. Muache tujisikie kesho kwenye habari ulivyotolewa firigisi, Wallah!Hii imekaa kiimani zaidi, hivyo unafanya kazi kwa wanaoamini kuwa dhulma hulipwa. Lkn kwa asiyeamini maisha yanasonga kama kawa tu.
Hivi unajua watu wengi tunaowaita kuwa "wametoboa kimaisha" wamedhulumu somewhere somehow?
Sasa anipige kisu kwasabb gani? Anataka ku-force mapenzi, kwani tulizaliwa naye?Ukipigwa kisu ukafa hizo sheria zitakulindaje zuzu wewe!!
Kwani wewe ni shekhe Yahaya ama prophet Mboro?Na kama unatupa chai utakufa keshokutwa
Ni kweli mapenzi au uchumba huvunjika. Hii inatokana na sababu za kiukweli ambazo mtru yeyote mwenye akili za kawaida ataona ni sababu za kukubalika. Hizo sababu zako ndiyo zina muhkeli na kuonyesha kuwa wewe ulienda kwa mhusika kwa sababu ulikuwa unanuka shida. Ungekuwa haunuki shida usingeenda huko. Kwa hiyo dhamira yako haikua kuanzisha uhusiano ili ukiona mnaendana mambo mengine yaendelea. Lakini ulijuwa wazi sura yake siyo presentable. Siku za mwanzo ulimuona ni mporipori na hukufanya chochote labda abadilike. Pesa yake uliendelea kuila. Baada ya kuona umefanikiwa ndiyo unatafuta njia ya kuachana.Unapingana na kanuni za kuingia ktk ndoa. Mojawapo ni kuchunguzana kwa kina. Mojawapo ya mambo yanayochunguzwa ni uwepo ama muendelezo wa hisia baina ya wapenzi.
Sasa baada ya uchunguzi kufanyika nn kinafuata? Bila shaka ni maamuzi ya kuendelea ama kusitisha mahusiano.
Ndiyo nataka unisaidie mbinu nim- damp bila ya kumuumiza kihisia, maana yeye amekolea Sana. Mm hisia kwake sina tena.
Na wala usinitishie kwamba atanidhuru.....Sheria zipo.
Kuhusu gharama, mm sikuwa namwibia. Grow up bro. Ktk dunia ya leo siyo kwamba tukianza wote lazima tumalize wote.
Tutolee ujinga wako hapa.Niliwahi kuitolea maelezo account hii. Nikasema Sexless ni account ya taasisi inayojihusisha na mambo ya sex and sexuality. Siyo account ya mtu.
Sikuwa na lengo la kumchuna, unanihukumu bure tu.Lakini wakati huo wa kumchunguza usikazane saana kumchuna, maana ujue kwake kutoa pesa ni investment. Anataka akuhudumie ili uwe na mafanikio, ili atakapo kuoa usijisikie mnyonge. Lakini wewe inaonekana umeenda na malengo
Unamaanisha nn sasa?Tutolee ujinga wako hapa