Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Shalom,
Naripoti toka Dodoma City
Kisa kiko hivi huyu msela wangu ni mtu smart, mpole, na mwelevu kiasi, elimu yake ya kawaida, hana maneno mengi, anaishi maisha ya kawaida kabisa.
Anasilimulia kuwa ana boss wa kike ofisni na yupo ngazi ya juu kidogo kwa maana sio boss wake wa uwajibikaji wa kila siku.
Siku isiyopangwa wala kutabiriwa mwaka jana kipindi cha kiangazi aliota anafanya mapenzi na huyo boss wa kike ajabu ilienda mbali hadi ishara ya kuzama uvinzani na ndipo mshituko ukatokea, na huyo boss sio mtu wake wa karibu na hana mazoea nae na hajawahi mfikiria kimapenzi.
Katika taswira ya kikazi huyo boss katika jicho la utumishi hana mapenzi na msela na huyo boss ana hulka ya roho mbaya ya kimya kimya. Huu ni mtazamo na ndivyo watu wanamsema hivyo.
Kwanza kabisa huyo boss ameolewa na mtu ambae ni kama ben10 kwenye kila eneo kiumri, kifedha, kielemu na maendeleo yote.
Katika historia ya utumishi wa huyu boss hajawahi kuwa mtu wa karibu wala rafiki au bestii wa msela wangu maana kabla ya hapo huyu mwanamke alihudumu nafasi ya chini kama immediate boss wao kabla hajapanda cheo hivi karibuni.
Zipo tetesi kwa baadhi ya watu kwamba huyu boss ni mtu wa kupuliza ama hutumia ushirikina kupenya njia zake za mafanikio hasa kwa njia ya kutumia nyota za watu.
Hii ndoto imebaki kwenye memory za msela.
Je, hio ndoto inaweza ikawa na maudhui machafu kuhusu msela wangu?
Karibu kwa tafsiri
Wadiz
Cc. Mshana Jr
Cc. Rakims
Cc. Wanajukwaa wote