Ameota anafanya mapenzi na boss wake wa kike. Je, ina tafsiri gani?

Ameota anafanya mapenzi na boss wake wa kike. Je, ina tafsiri gani?

Niliwah kusikia ukiota hivyo na huyo mtu hujawah kutoka nae basi haitatokea umpate, ila naamin n stor za vijiwen, cha msingi muulize mshikaj wako alikojoa?
 
Jiandae unakwenda kupata pesa hv karibuni kutoka kwa mtu unayemfahamu.

Kwa kifupi vitu vitamu au pendwa na wengi duniani ni PESA na MAPENZI

ukiota unashiriki tendo la ndoa na mtu unayemfahamu basi inaaishiria Kuna jambo zuri mbele yako hasa kuhusu pesa yaani unakwenda kupata pesa kutoka kwa mtu unayemjua .

Na ukiota unashiriki tendo na mtu usiyemjua maana yake utapata pesa kutoka kwa mtu usiyemjua kabisa.
Yaani Dili hukulitarajia gafla linadondokea kwako

Kwahyo Fanya upembuzi kma Kuna mtu ulikuwa una mdai tarajia kulipwa, otherwise jiandae Kuna mema yaja na ndio maana ndoto za kusex ukishakuwa mtu mzima haziotwi ovyoovyo ni nadra Sana
 
Nadhani kila mtu ana tafsiri na dhana ya Elimu kivyake.
Swali la dhahabu; inamsaidia nini mwenyenayo hiyo Elimu?

Nawasilkisha.
Haliwezi kuwa swali la dhahabu labda la kipuuzi.
 
Hii ni ishu ya kumsimulia msela, na msela kuileta jamvini?
 
Back
Top Bottom