muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Aende kumwambia tu, Boss nimekuota nakunyonya Uvinza hadi ukamwaga, boss atafurahi sana , na kumpa ahadi ya mbususu ile kiukweli ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mkojo ilikuwa umembana sanaMwambie ni ndoto tu kikubwa kama ali enjoy huko ndotoni bas inatosha. Hakuna haja ya kuokoteza okoteza na kuunga unga vi maana
Mshana siku hizi kaadimika sana
Hivi Ni Kweli mtu akiota anafanya mapenzi inamaanisha amevamiwa na jini mahaba au Ni porojo?Huenda anavamiwa na majini mahaba,vingenevyo atakuja kupanda cheo kufikia hiyo nafasi lakini hatatumia njia za halali
je hii kuota kila mara upo nyumbani au upo na watu wa nyumbani ilihali upo kikazi mkoa tofauti je ina maana gani?Sheria za KAZI haziruhusu
Hicho alichoota kibaya maana Yake atafukuzwa KAZI au hatadumu kwenye hiyo ajira
Ni onyo kwake kuwa azingatie KAZI zaidi na Sheria zake ni warning dream toka kwenye ulimwengu WA Roho kabla hakijamkuta kitu kibaya na kupoteza kazi
Sio kweli nyingi huwa ni warning dreamHivi Ni Kweli mtu akiota anafanya mapenzi inamaanisha amevamiwa na jini mahaba au Ni porojo?
Huzingatii mipango au malengo yako na kuwa serious nayo kuhakikisha yanakuwa hutulii na Ku focusje hii kuota kila mara upo nyumbani au upo na watu wa nyumbani ilihali upo kikazi mkoa tofauti je ina maana gani?
Ushauri asiendekeze imani za kishirikina, ndoto hazina maana yoyote, mwisho azidishe maombi kwa kila jaribu liwe linaloonekana ama lisiloonekanaShalom,
Kisa kiko hivi huyu msela wangu ni mtu smart, mpole, na mwelevu kiasi, elimu yake ya kawaida, hana maneno mengi, anaishi maisha ya kawaida kabisa.
Anasilimulia kuwa ana boss wa kike ofisni na yupo ngazi ya juu kidogo kwa maana sio boss wake wa uwajibikaji wa kila siku.
Siku isiyopangwa wala kutabiriwa mwaka jana kipindi cha kiangazi aliota anafanya mapenzi na huyo boss wa kike ajabu ilienda mbali hadi ishara ya kuzama uvinzani na ndipo mshituko ukatokea, na huyo boss sio mtu wake wa karibu na hana mazoea nae na hajawahi mfikiria kimapenzi.
Katika taswira ya kikazi huyo boss katika jicho la utumishi hana mapenzi na msela na huyo boss ana hulka ya roho mbaya ya kimya kimya. Huu ni mtazamo na ndivyo watu wanamsema hivyo.
Kwanza kabisa huyo boss ameolewa na mtu ambae ni kama ben10 kwenye kila eneo kiumri, kifedha, kielemu na maendeleo yote.
Katika historia ya utumishi wa huyu boss hajawahi kuwa mtu wa karibu wala rafiki au bestii wa msela wangu maana kabla ya hapo huyu mwanamke alihudumu nafasi ya chini kama immediate boss wao kabla hajapanda cheo hivi karibuni.
Zipo tetesi kwa baadhi ya watu kwamba huyu boss ni mtu wa kupuliza ama hutumia ushirikina kupenya njia zake za mafanikio hasa kwa njia ya kutumia nyota za watu.
Hii ndoto imebaki kwenye memory za msela.
Je, hio ndoto inaweza ikawa na maudhui machafu kuhusu msela wangu?
Karibu kwa tafsiri
Wadiz
Cc. Mshana Jr
Cc. Rakims
Cc. Wanajukwaa wote
Ndoto hazina maana? Usicheze na ndoto Kwenye Biblia Misri ilitajirika na kuwa taifa kubwa Kwa sababu ya ndotoUshauri asiendekeze imani za kishirikina, ndoto hazina maana yoyote, mwisho azidishe maombi kwa kila jaribu liwe linaloonekana ama lisiloonekana
Kuna nguvu kubwa katika maombi, kufunga na sala.
Amtegemee Bwana naye hatomuacha katika majaribu
we mbon unanchokoza ivi😂😂😂