Ameota anafanya mapenzi na boss wake wa kike. Je, ina tafsiri gani?

Sheria za KAZI haziruhusu

Hicho alichoota kibaya maana Yake atafukuzwa KAZI au hatadumu kwenye hiyo ajira
Ni onyo kwake kuwa azingatie KAZI zaidi na Sheria zake ni warning dream toka kwenye ulimwengu WA Roho kabla hakijamkuta kitu kibaya na kupoteza kazi
 
Huenda anavamiwa na majini mahaba,vingenevyo atakuja kupanda cheo kufikia hiyo nafasi lakini hatatumia njia za halali
Hivi Ni Kweli mtu akiota anafanya mapenzi inamaanisha amevamiwa na jini mahaba au Ni porojo?
 
je hii kuota kila mara upo nyumbani au upo na watu wa nyumbani ilihali upo kikazi mkoa tofauti je ina maana gani?
 
Hivi Ni Kweli mtu akiota anafanya mapenzi inamaanisha amevamiwa na jini mahaba au Ni porojo?
Sio kweli nyingi huwa ni warning dream

Ukiota kama hivyo unadanyana na bosi kazini

Rudi Angalia.kwanza mhusika mkuu kwenye hiyo ndoto ni.nani? Unajiona ni wewe ukifurahia kujinoma hadi basi hivyo hiyo ndoto inakuhusu wewe pili jiulize je Sheria za KAZI je zinaruhusu hayo ? Pili je ndicho kilichokupeleka pale kazini?

Ndoto ina maana kuwa pale kazini huna mchango WA maana zaidi ya kufanya vitu vya hovyo.kukojolea kojolea Tu ofisi na KAZI na uchafu wako huna mchango WA maana ofisini zaidi ya kunya kunya na kukojoa kojoa Tu ofisini
 
je hii kuota kila mara upo nyumbani au upo na watu wa nyumbani ilihali upo kikazi mkoa tofauti je ina maana gani?
Huzingatii mipango au malengo yako na kuwa serious nayo kuhakikisha yanakuwa hutulii na Ku focus

Badilika hiyo ndio meseji toka ulimwengu wa roho
 
Ushauri asiendekeze imani za kishirikina, ndoto hazina maana yoyote, mwisho azidishe maombi kwa kila jaribu liwe linaloonekana ama lisiloonekana

Kuna nguvu kubwa katika maombi, kufunga na sala.

Amtegemee Bwana naye hatomuacha katika majaribu
 
Ndoto hazina maana? Usicheze na ndoto Kwenye Biblia Misri ilitajirika na kuwa taifa kubwa Kwa sababu ya ndoto

Mfalme aliota ndoto ngombe Saba wembamba na Saba wanene akapewa tafsiri kuwa kutakuwa na Miaka Saba chakula kitakuwa kingi Sana dunia mzima nunua chakula dunia nzima sababu kitakuwa bei rahisi halafu baada ya hiyo Miaka Saba itakuja njaa Kali dunia nzima Miaka Saba watakuja Misri kununua chakula wauzie bei mbaya na ikawa hivyo Misri ikawa tajiri mno kuliko marekani

Wavumbuzi wengi WA teknolojia huota usiku kama hujui wakiamka wanafanya walichoota waluchosomeshwa ndotoni

Kabla Kulala omba Mungu akupe ndoto nzuri ukiamka ukiifanyia KAZI unatoka kimaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…