mxrereco
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,906
- 3,986
Kuna mtu aliwahi kuleta uzi kuwa, fukara aoe fukara mwenzie na kigogo aoe kigogo mwenzie. Ndio maana matajiri hawataki watotp wao waolewe na makapuku. 7m mahari sishangai itakua imefuata utaratibu wa mtoto wa kigogo kuoa mtoto wa kigogo. Ila inavyoonekana mtoa mada anaizungumzia 3m kuwa ni nyingi kwa sababu muoaji kamu evaluate muolewaji na familia yao akaona sio wa 3m ila maringo na kujikweza muolewaji tu.Kaka angu alioa kwa 7 m, endelea kushangaa hiyo 3
Wadada unaweza juleleqa vizuri sana na ukawa na maadili bora kabisa ila likija swala la kuolewa wakawa wanakuja wa 1.5m tu na ukawa una wakataa na kujiuliza maswali juu. Jibu ni kwamba, kama familia yenu sio pesa kiasi cha kuwa na interactions na matajiri basi watakuja haohao wa 1.5m kwa sababu ndio mna interact nao kila siku. Japo wapo wachache hubahatika kukutana na wa 4m ila ni wachache. Sasa unaweza kuanza kujilinganisha kwanini flan kaolewa kwa 4m na mm iwe 1.5m? Unasema hapana huyu hanifai hadhi yangu sio hio ngoja nisubili.
Kikubwa iwe 1m au 5m, ndo ni furaha. Kama utaolewa kwa 5m na ukaikosa furaha kwenye ndoa, basi inaweza kuvunjika kwa muda mfupi sana na ukamwacha aliyeolewa kwa 1m akafurahia ndoa yake
KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE