Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏Sio lazima, ila nafasi ikijitokeza, tena kwa mtu ambae upo nae kwenye mahusiano, hakuna baya, ingia tu ndoani.😊😊😊
NdioSawa ila utanifikilia babee?
Humu wengi ni bendera fuata upepo.Vijana hawataki kuoa, Wanashangaa kulipa mahali. Vijana wa sasa tumekuwa watu wa kutake easy to everything.
Sasa mtu unataka uoe bila Mahali?!
Kwa hiyo unataka sogea tukae,kaka fuata taratibu kama kweli unampenda huyo binti,kakupa msimamo wake sasa kama umeshindwa sio lazimaInashangaza sana kwa mwanamke mwenye ndoto ya kuolewa na kuitumikia familia yake kuanza kuweka vikwazo kama anavyoviweka huyu binti
Amepata mwanaume ambaye yuko kwenye mstari mnyoofu wa maisha, ana biashara yake ya kukidhi maisha. Halafu anaambiwa aolewe naye anaanza kuleta vigezo vya umri, mara eti anahitaji aolewe kihalali, ifanyike harusi, mwanaume akajitambulishe ukweni akiwa na kitenge cha mama. Kwa tetesi ninazozisikia ni kuwa ili mtoto aolewe inatakiwa mahali ya Tsh. Milioni tatu 😂😂😂😂
Yaani unapata mwanaume wa kukuoa zama hizi unaleta maringo! Zama za vijana wa kataa ndoa!!? 😂😂 Tena mtu amejijenga vya kutosha! Ee Mola tunusuru, dunia ina vioja vya kila namna
Enyi wanawake wa nchi hii, jaribuni kukua kifikra. Ndoa si maembe mabichi kama ilivyokuwa zamani, kama kweli anania ya kujilipua kwenye hili janga la maumivu, mpe nafasi hiyo mara moja. Ndoa ni bahati siku hizi
Mwenzenu anajikita malaika huku. Tunasubiri aikanyage vyema miaka 30's aende kukanyaga mafuta, afie huko huko kwa msongamano
Imeisha hiyo,mtu anataka aishi na binti mwenye wazazi ama walezi wake sogea tukae nani kasema yeye aende nyumbani akakutane na wazazi wa binti full stopPerfect and that is how a woman should be uyo dada anawazazi waliomlea na so kwamba ameokatwa chini ya mtu so yes if you really love her you should follow the procedure so eti kisa ndoa ni bahat ndo ufanye unavyotaka wewe kisa umejijenga bla bla bla ivo vitu havisaidii chochote kwa mwanamke anaejua thaman yke
Ndoa utumwa tena?Kwani Lazima uwe mtumwa wa ndoa?
Kwamba hutakiwa kuwa against na kitu hujakipendaNdoa utumwa tena?
Milioni 3 itolewe kama mdada bado ana bikra. Lkn kama kuna mhuni anaivhakata mbususu kwa chipsi za buku 3 wewe unatoaje mili 3 ??Milion 3?. Wanawake bhana.
Sasa hapo utakuta hata huyo mwanamke hiyo hela hajawahi kuipata na wala hana.
Kuna jamaa hivi hivi siku ya kutoa mahari, mwanaume akajinyonga.
Utasema anunua ng'ombe Kwamba ataenda kukamua maziwa 😀Milioni 3 itolewe kama mdada bado ana bikra. Lkn kama kuna mhuni anaivhakata mbususu kwa chipsi za buku 3 wewe unatoaje mili 3 ??
Hao wakaoe kule ambako unatumwa kitanda na godoroUnaongea as if you are the last potential man in the world.
My dear friend, ukishindwa wewe wataoa wenzako. Sio shida zao!
Ndoa ni muhimu jirani..sio utumwa. Sisi tu tunajiharibia.Kwani Lazima uwe mtumwa wa ndoa?
Mahari ni misahafu na mazungumzo ni bar. Hapo sasa....Binafsi wake zangu wote wawili niliwaoa kwa mahali ya msaafu. Kuna wazazi waliwahi kusteti kwamba wamekaa wamefikiria wakaona ni vyema nitoboke 1m. Nikacheka kwa nguvu, nikamvuta mshenga mkono tukaondoka zetu bar huku tunakenua
Kabisa jirani....em ngoja kwanza tuone😄Ndoa ni muhimu jirani..sio utumwa. Sisi tu tunajiharibia.
Mkuu mfanyie close supervision huyo binti mwenye kutaka mahari ya 3m utafikiri baba ake anazo. Baada ya miaka miwili tuletee mrejesho kama bado hajazalia kwao.Inashangaza sana kwa mwanamke mwenye ndoto ya kuolewa na kuitumikia familia yake kuanza kuweka vikwazo kama anavyoviweka huyu binti
Amepata mwanaume ambaye yuko kwenye mstari mnyoofu wa maisha, ana biashara yake ya kukidhi maisha. Halafu anaambiwa aolewe naye anaanza kuleta vigezo vya umri, mara eti anahitaji aolewe kihalali, ifanyike harusi, mwanaume akajitambulishe ukweni akiwa na kitenge cha mama. Kwa tetesi ninazozisikia ni kuwa ili mtoto aolewe inatakiwa mahali ya Tsh. Milioni tatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani unapata mwanaume wa kukuoa zama hizi unaleta maringo! Zama za vijana wa kataa ndoa!!? [emoji23][emoji23] Tena mtu amejijenga vya kutosha! Ee Mola tunusuru, dunia ina vioja vya kila namna
Enyi wanawake wa nchi hii, jaribuni kukua kifikra. Ndoa si maembe mabichi kama ilivyokuwa zamani, kama kweli anania ya kujilipua kwenye hili janga la maumivu, mpe nafasi hiyo mara moja. Ndoa ni bahati siku hizi
Mwenzenu anajikita malaika huku. Tunasubiri aikanyage vyema miaka 30's aende kukanyaga mafuta, afie huko huko kwa msongamano