Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Vijana mnapenda sana kulalamika sasa hiyo 3M ndio unakuja kujiliza huku?
Unataka upewe mke bure? Hebu fikiria utapata wapi uhalali wa kumnyandua mkeo ikiwa hujatoa hata mahari na kutambulika kwao??
Kama vijana huna pesa za mahari nenda kaongee na wazee wa binti watakupa muda wa kutafuta pesa za mahari.
Tatizo kubwa la vijana wa nyakati hizi mnapenda sana Kitonga mtakuja kugeuzwa wake mshangae macho yenu.