Amepata bahati ya mwanaume wa kumuoa, anaweka vikwazo vya mahari na kutambulishana

Amepata bahati ya mwanaume wa kumuoa, anaweka vikwazo vya mahari na kutambulishana

Ni bahati maana atatunzwa maisha yake yote na urithi utamwachia akumbwaga anapata 50% ya mali zako, bahati iliyoje

Kwa mentality hii mnayowajaza hao wanawake hawataisha kuwapiga matukio, maana kama mtataka waichukulie ndoa kama bahati basi hawataweza kuikataa hata kama hawawapendi.

Matokeo yake ni migogoro kila siku ndani ya hizo ndoa.
 
Inashangaza sana kwa mwanamke mwenye ndoto ya kuolewa na kuitumikia familia yake kuanza kuweka vikwazo kama anavyoviweka huyu binti

Amepata mwanaume ambaye yuko kwenye mstari mnyoofu wa maisha, ana biashara yake ya kukidhi maisha. Halafu anaambiwa aolewe naye anaanza kuleta vigezo vya umri, mara eti anahitaji aolewe kihalali, ifanyike harusi, mwanaume akajitambulishe ukweni akiwa na kitenge cha mama. Kwa tetesi ninazozisikia ni kuwa ili mtoto aolewe inatakiwa mahali ya Tsh. Milioni tatu 😂😂😂😂

Yaani unapata mwanaume wa kukuoa zama hizi unaleta maringo! Zama za vijana wa kataa ndoa!!? 😂😂 Tena mtu amejijenga vya kutosha! Ee Mola tunusuru, dunia ina vioja vya kila namna

Enyi wanawake wa nchi hii, jaribuni kukua kifikra. Ndoa si maembe mabichi kama ilivyokuwa zamani, kama kweli anania ya kujilipua kwenye hili janga la maumivu, mpe nafasi hiyo mara moja. Ndoa ni bahati siku hizi

Mwenzenu anajikita malaika huku. Tunasubiri aikanyage vyema miaka 30's aende kukanyaga mafuta, afie huko huko kwa msongamano
Niliwahi kusema; ukienda kuchumbia kwa wamasai ukadaiwa Ng'ombe 12 usije hapa kulalamika kwani hizo kwa wamasai ni Mahari ya kawaida sana. Kabla ya kuchumbia fanya utafiti ujue taratibu za kabila husika uone kama unaweza na kama huwezi acha mapema.
 
Mkuu yani umepita mule mule ngija nikutag kwe post yangu
Tukiwaaminisha kuwa ndoa ni bahati watakosa ile nguvu ya kuchagua kuolewa na wanaowapenda, matokeo yake watakuwa wanaingia kwenye ndoa hata kama hawawapendi hao wanaume kwa kigezo cha kutokuichezea bahati.

Mwaka mmoja tu, ule uvumilivu walioamini wangekuwa nao kwenye swala la kuishi na mwanaume ambaye hawampendi unaisha, na sasa wanaanza kutafuta namna ya kuchomoka huko.

Hapo sasa, kile kilio cha Kataa ndoa, kinakuwa hakiepukiki.

Matokeo yake siku sikuhizi wanaume tumegeuka vitega uchumi vyao, tunawajenga wao huku sisi tukiangamia)

Maana wametugeuza bahati.
Screenshot_20230304-151909.png
 
Haijalishi ni kubwa au ni ndogo ila siwezi kutoa mahari ya milion 3. Hata kama angekuwa bikra
Pesa nitakayotoa ni mwisho laki 7 tofauti na hapo akatafute mwanaume mwingine wa kumuoa.
Unaongea as if you are the last potential man in the world.
My dear friend, ukishindwa wewe wataoa wenzako. Sio shida zao!
 
Kuna wakati unataka kununua bidhaa ila bei ya bidhaa hailingani na ubora wa bidhaa.
Flash drive 2GB, bei ni 60,000. Hata kama wewe ndiyo Biligate utanunua?
Ona sasa mkuu fikra zako zilivyo, za hovyo hovyo tu!! 😂😂😂

Wewe kijana/baba kama hujaoa nakushauri oa acha mawazo potofu.
Aliyekwambia kuoa MKE ni sawa na kununua bidhaa kama flash drive ni nani??!!
 
Tuzungumzia mahari na siyo hayo makorokolo unayotaja. Mahari yako ilikuwa milion 3?
Kutafuta wa uwezo wangu siyo shida ila shida inapokuja unatoa mahari milion 3 halafu mwanamke anakucheat hapo lazima bastola au gunia za mkaa zihusike.
Wanawake bhana hela ndogo wakati yeye hana hata hiyo milion 3. Msingi wake mbususu
Sitaki kuitaja ili nisije popolewa lakini ilikuws kubwa kidogo,ila haya masuala mengine ni mtu mwenyewe
 
Niliwahi kusema; ukienda kuchumbia kwa wamasai ukadaiwa Ng'ombe 12 usije hapa kulalamika kwani hizo kwa wamasai ni Mahari ya kawaida sana. Kabla ya kuchumbia fanya utafiti ujue taratibu za kabila husika ujue kama unaweza na kama huwezi acha mapema.
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake na kama kamba haifiki usilazimishe....
Hapo sasa 😂😂
 
Haijalishi ni kubwa au ni ndogo ila siwezi kutoa mahari ya milion 3. Hata kama angekuwa bikra
Pesa nitakayotoa ni mwisho laki 7 tofauti na hapo akatafute mwanaume mwingine wa kumuoa.
Asa utaitoaje wakati kuipata ni kazi
 
Unataka kuniambia unaweza kuumaliza umaskini wa ndg zako?
Jaribu kuwapa 10m@ then mwakani waendeee kama utazikuta.
Utakuwa unapoteza mda kuargue na mtu ambaye uwezo wake bado ni mdogo hamna siku mtaelewana,hiyo hela kwake ni kubwa mno
 
Unafikiri unaweza kuumaliza umasikini wa ndugu wa mwanamke kwa kuwalipa mahari kubwa?
Unatoa mahari kubwa siku ukigongewa unaanza kutafuta magunia ya mkaa, bastola au kitu chohote cha kumuua mwanamke.
Yule jamaa wa mwanza Saidi ilibidi ampige risasi mkewe na yeye kujiua maana aligharamika sana kumsomesha, mahari ya harusi n.k mwisho wa siku mwanamke anataka kurudiana na ex wake tena choka mbaya
Milioni tatu au sita inaweza kufanya jambo gani la maana?sehemu zingine unawekewa na baadhi ya vitu kaka godoro,kabati,friji na vingine niambie hiyo hela inasaidia nini
 
Dah, aliyekuoa kwa mahari kubwa zaidi ya 3m sijui aliwaza nini. Sasa kama unashindwa kutofautisha kati ya mahari na mahali... Labda aliikuta iko silidi[emoji3]
Hilo ni tatizo la kiuandishi wala halihusiani,mbona sehemu ingine nimeandika vizuri,tafuta hela uache makasiriko,sijaolewa kwa 3M mimi nikikutajia maneno yataongezeka
 
Niliwahi kusema; ukienda kuchumbia kwa wamasai ukadaiwa Ng'ombe 12 usije hapa kulalamika kwani hizo kwa wamasai ni Mahari ya kawaida sana. Kabla ya kuchumbia fanya utafiti ujue taratibu za kabila husika ujue kama unaweza na kama huwezi acha mapema.
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake na kama kamba haifiki usilazimishe....
Asante sana
 
Binafsi wake zangu wote wawili niliwaoa kwa mahali ya msaafu. Kuna wazazi waliwahi kusteti kwamba wamekaa wamefikiria wakaona ni vyema nitoboke 1m. Nikacheka kwa nguvu, nikamvuta mshenga mkono tukaondoka zetu bar huku tunakenua
Hapa ikaweje sasa
 
Back
Top Bottom