Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
Inaonekana kwenye ukoo wenu. Baba yako anaweza kumuoa mwanawe wa kumzaa au ndugu yake.Mkuu...
Waowe sasa hao hao ndugu zako na uwazalishe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana kwenye ukoo wenu. Baba yako anaweza kumuoa mwanawe wa kumzaa au ndugu yake.Mkuu...
Waowe sasa hao hao ndugu zako na uwazalishe!
Ni bahati maana atatunzwa maisha yake yote na urithi utamwachia akumbwaga anapata 50% ya mali zako, bahati iliyoje
[emoji23][emoji23][emoji23]Alimuoa mtoto wa bhakressa nini
Niliwahi kusema; ukienda kuchumbia kwa wamasai ukadaiwa Ng'ombe 12 usije hapa kulalamika kwani hizo kwa wamasai ni Mahari ya kawaida sana. Kabla ya kuchumbia fanya utafiti ujue taratibu za kabila husika uone kama unaweza na kama huwezi acha mapema.Inashangaza sana kwa mwanamke mwenye ndoto ya kuolewa na kuitumikia familia yake kuanza kuweka vikwazo kama anavyoviweka huyu binti
Amepata mwanaume ambaye yuko kwenye mstari mnyoofu wa maisha, ana biashara yake ya kukidhi maisha. Halafu anaambiwa aolewe naye anaanza kuleta vigezo vya umri, mara eti anahitaji aolewe kihalali, ifanyike harusi, mwanaume akajitambulishe ukweni akiwa na kitenge cha mama. Kwa tetesi ninazozisikia ni kuwa ili mtoto aolewe inatakiwa mahali ya Tsh. Milioni tatu 😂😂😂😂
Yaani unapata mwanaume wa kukuoa zama hizi unaleta maringo! Zama za vijana wa kataa ndoa!!? 😂😂 Tena mtu amejijenga vya kutosha! Ee Mola tunusuru, dunia ina vioja vya kila namna
Enyi wanawake wa nchi hii, jaribuni kukua kifikra. Ndoa si maembe mabichi kama ilivyokuwa zamani, kama kweli anania ya kujilipua kwenye hili janga la maumivu, mpe nafasi hiyo mara moja. Ndoa ni bahati siku hizi
Mwenzenu anajikita malaika huku. Tunasubiri aikanyage vyema miaka 30's aende kukanyaga mafuta, afie huko huko kwa msongamano
Tukiwaaminisha kuwa ndoa ni bahati watakosa ile nguvu ya kuchagua kuolewa na wanaowapenda, matokeo yake watakuwa wanaingia kwenye ndoa hata kama hawawapendi hao wanaume kwa kigezo cha kutokuichezea bahati.Mkuu yani umepita mule mule ngija nikutag kwe post yangu
Utatoaje wakati huna mkuu! 🤣🤣🤣7 million [emoji28][emoji28] SITOI
Unaongea as if you are the last potential man in the world.Haijalishi ni kubwa au ni ndogo ila siwezi kutoa mahari ya milion 3. Hata kama angekuwa bikra
Pesa nitakayotoa ni mwisho laki 7 tofauti na hapo akatafute mwanaume mwingine wa kumuoa.
Umesikia hiyo mahari aliyotoa hata yeye alikuwa vuzuri,jaribu uoneMi hupenda vijana wajanja kama kakaako. Unaoa mwanamke asset sio liability. Mungu awape maisha marefu
Ona sasa mkuu fikra zako zilivyo, za hovyo hovyo tu!! 😂😂😂Kuna wakati unataka kununua bidhaa ila bei ya bidhaa hailingani na ubora wa bidhaa.
Flash drive 2GB, bei ni 60,000. Hata kama wewe ndiyo Biligate utanunua?
Sitaki kuitaja ili nisije popolewa lakini ilikuws kubwa kidogo,ila haya masuala mengine ni mtu mwenyeweTuzungumzia mahari na siyo hayo makorokolo unayotaja. Mahari yako ilikuwa milion 3?
Kutafuta wa uwezo wangu siyo shida ila shida inapokuja unatoa mahari milion 3 halafu mwanamke anakucheat hapo lazima bastola au gunia za mkaa zihusike.
Wanawake bhana hela ndogo wakati yeye hana hata hiyo milion 3. Msingi wake mbususu
Hapo sasa 😂😂Niliwahi kusema; ukienda kuchumbia kwa wamasai ukadaiwa Ng'ombe 12 usije hapa kulalamika kwani hizo kwa wamasai ni Mahari ya kawaida sana. Kabla ya kuchumbia fanya utafiti ujue taratibu za kabila husika ujue kama unaweza na kama huwezi acha mapema.
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake na kama kamba haifiki usilazimishe....
Asa utaitoaje wakati kuipata ni kaziHaijalishi ni kubwa au ni ndogo ila siwezi kutoa mahari ya milion 3. Hata kama angekuwa bikra
Pesa nitakayotoa ni mwisho laki 7 tofauti na hapo akatafute mwanaume mwingine wa kumuoa.
Ndo ujue mke/mume ni kitu kingine usimcompee kwenye issues za ndugu!Inaonekana kwenye ukoo wenu. Baba yako anaweza kumuoa mwanawe wa kumzaa au ndugu yake.
Utakuwa unapoteza mda kuargue na mtu ambaye uwezo wake bado ni mdogo hamna siku mtaelewana,hiyo hela kwake ni kubwa mnoUnataka kuniambia unaweza kuumaliza umaskini wa ndg zako?
Jaribu kuwapa 10m@ then mwakani waendeee kama utazikuta.
Milioni tatu au sita inaweza kufanya jambo gani la maana?sehemu zingine unawekewa na baadhi ya vitu kaka godoro,kabati,friji na vingine niambie hiyo hela inasaidia niniUnafikiri unaweza kuumaliza umasikini wa ndugu wa mwanamke kwa kuwalipa mahari kubwa?
Unatoa mahari kubwa siku ukigongewa unaanza kutafuta magunia ya mkaa, bastola au kitu chohote cha kumuua mwanamke.
Yule jamaa wa mwanza Saidi ilibidi ampige risasi mkewe na yeye kujiua maana aligharamika sana kumsomesha, mahari ya harusi n.k mwisho wa siku mwanamke anataka kurudiana na ex wake tena choka mbaya
Hapo sasa hata mimi nimeshangaa umejijenga unalilia milion tatu?Kama kajijenga anashindwaje kutoa hiyo million tatu?hamna kitu hapo huyo ni mnyonge tu [emoji28]
Hilo ni tatizo la kiuandishi wala halihusiani,mbona sehemu ingine nimeandika vizuri,tafuta hela uache makasiriko,sijaolewa kwa 3M mimi nikikutajia maneno yataongezekaDah, aliyekuoa kwa mahari kubwa zaidi ya 3m sijui aliwaza nini. Sasa kama unashindwa kutofautisha kati ya mahari na mahali... Labda aliikuta iko silidi[emoji3]
Asante sanaNiliwahi kusema; ukienda kuchumbia kwa wamasai ukadaiwa Ng'ombe 12 usije hapa kulalamika kwani hizo kwa wamasai ni Mahari ya kawaida sana. Kabla ya kuchumbia fanya utafiti ujue taratibu za kabila husika ujue kama unaweza na kama huwezi acha mapema.
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake na kama kamba haifiki usilazimishe....
Hapa ikaweje sasaBinafsi wake zangu wote wawili niliwaoa kwa mahali ya msaafu. Kuna wazazi waliwahi kusteti kwamba wamekaa wamefikiria wakaona ni vyema nitoboke 1m. Nikacheka kwa nguvu, nikamvuta mshenga mkono tukaondoka zetu bar huku tunakenua
Nilishaachana nayeUtakuwa unapoteza mda kuargue na mtu ambaye uwezo wake bado ni mdogo hamna siku mtaelewana,hiyo hela kwake ni kubwa mno