Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Kuna mmoja pisi ya kinyamwezi ni mkali hatari na vile kasoma na kazi nzuri basi alikua kila mchumba hataki. Mamaye basi kaja kuhaha baadaye miaka 37 hii hapa. Kaja kuokotwa na mwamba yaani unaona kabisa bi dada amemkubali kwa kuwa alikua desperate na akawa hana jinsi. Jamaa akamzalisha fastafasta watoto wawili. Jamaa tumbo kama lodilofa