Amepata bahati ya mwanaume wa kumuoa, anaweka vikwazo vya mahari na kutambulishana

Amepata bahati ya mwanaume wa kumuoa, anaweka vikwazo vya mahari na kutambulishana

Kaka angu alioa kwa 7 m, endelea kushangaa hiyo 3
Mimi hata milion 1 sitoi. Utoe hela na mwanamke siyo bikra unatafuta nini cha zaidi?
Soda inayouzwa 600 mtaani ukienda hotel kubwa utanunua hadi 5,000. Wala sishangai
Kaka yako alipigwa. Ogopa matapeli
 
Kwani wangapi wametoa hizo hela na baada ya kupata matatizo hao hao wanawake waliotolewa milion 3 wamewakimbia? Je, huyo mwanamke atakuwa amemfaa?
Kuna watu wametoa hiyo hela na wakatombew, utasema huyo mwanamke anamfaa sana huyo mwanaume?
Usitafute kuwa na moyo mzuri kwa kutoa mahari ya milion 3. Kama una moyo mzuri ni mzuri tu hata utoe mahari ya laki 1.
Mimi mahari ya milion 3 siwezi kufanya huo ujinga.
Unaweza kutoa fgo na kukimbiwa pia.

Tunapoanza jambo hatuangalii kushindwa bali kushinda
 
Wanawake bhana. Anaweza kukuambia baby naomba 20,000. Ukamtumia 15,000
Atanuna na kukuambia mbona hela ndogo sana hii na haitatoshi? Kama ni hela ndogo kwa nini ameniomba 20,000? Hapo hana hata 100
  • Kama demu sikiliza by Magweair ft Lady JD & MwanaFA
  • Dume suruali by Mwana FA ft ...
Msipende sana pesa. Pesa zinauza utu wako

[emoji23][emoji23][emoji23] uyu jambazi
 
Unaweza kutoa fgo na kukimbiwa pia.

Tunapoanza jambo hatuangalii kushindwa bali kushinda
Usitafute kuwa na huruma na upendo kwa mwanamke kwa kutoa mahari ya milion 3.
Wakati ndugu zako wakikuomba hata 50,000 unasema hauna wakati unayo.
Kuna watu wamesomesha, wengine wametoa mahari kubwa lkn mahusiano hayakudumu.
Unamwambiaje Stamina kwasasa?
 
Abeeeeee at ndoa ni bahati? So Manara hana bahati ya ndoa? Na hawa wanao achana kila siku vip?

Enewe ayamu riding ze komentis.
 
Usitafute kuwa na huruma na upendo kwa mwanamke kwa kutoa mahari ya milion 3.
Wakati ndugu zako wakikuomba hata 50,000 unasema hauna wakati unayo.
Kuna watu wamesomesha, wengine wametoa mahari kubwa lkn mahusiano hayakudumu.
Unamwambiaje Stamina kwasasa?
Unataka kuniambia unaweza kuumaliza umaskini wa ndg zako?
Jaribu kuwapa 10m@ then mwakani waendeee kama utazikuta.
 
[emoji117][emoji817][emoji817]

Kweli kbs
Walisemaga ivyo ivyo wakabaki na manyoya....[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji275][emoji275][emoji846][emoji846]
Waambien wazazi na wadogo zenu kama ukimchunguza mtu ukajiridhisha kinacho fuata mambo yasiwe mengi....
 
Unataka kuniambia unaweza kuumaliza umaskini wa ndg zako?
Jaribu kuwapa 10m@ then mwakani waendeee kama utazikuta.
Unafikiri unaweza kuumaliza umasikini wa ndugu wa mwanamke kwa kuwalipa mahari kubwa?
Unatoa mahari kubwa siku ukigongewa unaanza kutafuta magunia ya mkaa, bastola au kitu chohote cha kumuua mwanamke.
Yule jamaa wa mwanza Saidi ilibidi ampige risasi mkewe na yeye kujiua maana aligharamika sana kumsomesha, mahari ya harusi n.k mwisho wa siku mwanamke anataka kurudiana na ex wake tena choka mbaya
 
Inashangaza sana kwa mwanamke mwenye ndoto ya kuolewa na kuitumikia familia yake kuanza kuweka vikwazo kama anavyoviweka huyu binti

Amepata mwanaume ambaye yuko kwenye mstari mnyoofu wa maisha, ana biashara yake ya kukidhi maisha. Halafu anaambiwa aolewe naye anaanza kuleta vigezo vya umri, mara eti anahitaji aolewe kihalali, ifanyike harusi, mwanaume akajitambulishe ukweni akiwa na kitenge cha mama. Kwa tetesi ninazozisikia ni kuwa ili mtoto aolewe inatakiwa mahali ya Tsh. Milioni tatu 😂😂😂😂

Yaani unapata mwanaume wa kukuoa zama hizi unaleta maringo! Zama za vijana wa kataa ndoa!!? 😂😂 Tena mtu amejijenga vya kutosha! Ee Mola tunusuru, dunia ina vioja vya kila namna

Enyi wanawake wa nchi hii, jaribuni kukua kifikra. Ndoa si maembe mabichi kama ilivyokuwa zamani, kama kweli anania ya kujilipua kwenye hili janga la maumivu, mpe nafasi hiyo mara moja. Ndoa ni bahati siku hizi

Mwenzenu anajikita malaika huku. Tunasubiri aikanyage vyema miaka 30's aende kukanyaga mafuta, afie huko huko kwa msongamano
Kama kajijenga anashindwaje kutoa hiyo million tatu?hamna kitu hapo huyo ni mnyonge tu 😅
 
Perfect and that is how a woman should be uyo dada anawazazi waliomlea na so kwamba ameokatwa chini ya mtu so yes if you really love her you should follow the procedure so eti kisa ndoa ni bahat ndo ufanye unavyotaka wewe kisa umejijenga bla bla bla ivo vitu havisaidii chochote kwa mwanamke anaejua thaman yke
Kajijenga wapi,Hana maadili anataka kumchukua binti wa watu akaishi naye kihuni 🏃binti kastuka
 
Kama kajijenga anashindwaje kutoa hiyo million tatu?hamna kitu hapo huyo ni mnyonge tu 😅
Kuna wakati unataka kununua bidhaa ila bei ya bidhaa hailingani na ubora wa bidhaa.
Flash drive 2GB, bei ni 60,000. Hata kama wewe ndiyo Biligate utanunua?
 
Tafuta wa uwezo wako,milioni tatu ni hela ndogo binafsi sikuolewa kwa mahali ndogo hivo
Makorokolo ndo angalau 2M weka na mahari sasa
Dah, aliyekuoa kwa mahari kubwa zaidi ya 3m sijui aliwaza nini. Sasa kama unashindwa kutofautisha kati ya mahari na mahali... Labda aliikuta iko silidi😀
 
Binafsi wake zangu wote wawili niliwaoa kwa mahari ya msaafu. Kuna wazazi waliwahi kusteti kwamba wamekaa wamefikiria wakaona ni vyema nitoboke 1m. Nikacheka kwa nguvu, nikamvuta mshenga mkono tukaondoka zetu bar huku tunakenua
 
Sio lazima kuoa ogopa matapel Piga puchu 😅😅😅
Mimi hata milion 1 sitoi. Utoe hela na mwanamke siyo bikra unatafuta nini cha zaidi?
Soda inayouzwa 600 mtaani ukienda hotel kubwa utanunua hadi 5,000. Wala sishangai
Kaka yako alipigwa. Ogopa matapeli
 
Binafsi wake zangu wote wawili niliwaoa kwa mahali ya msaafu. Kuna wazazi waliwahi kusteti kwamba wamekaa wamefikiria wakaona ni vyema nitoboke 1m. Nikacheka kwa nguvu, nikamvuta mshenga mkono tukaondoka zetu bar huku tunakenua
Msaafu wenyewe umeusoma mara ya mwisho lini?😅😅maskini ukute hata Madera yabei rahisi huwa huwanunulii
 
Mimi hata milion 1 sitoi. Utoe hela na mwanamke siyo bikra unatafuta nini cha zaidi?
Soda inayouzwa 600 mtaani ukienda hotel kubwa utanunua hadi 5,000. Wala sishangai
Kaka yako alipigwa. Ogopa matapeli
That's your point of view, I can't offend.

Ila unataka mwanamke bikra Ili hali wewe mwenyewe ushapiga Hadi threesome alafu unasema nataka mwenza bikira, aaah Kila mtu na apate wa kufanana nae 😎
 
Back
Top Bottom