Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Nina mwenza anayejua kazi yake sihitaji puchu.
Unaonekana ni mzoefu na mkongwe wa kupiga puchu.
Hongera sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonekana ni mzoefu na mkongwe wa kupiga puchu.
Hongera sana mkuu
Well saidUnakosea sana.
Utayari wa kuoa na kuwa na uwezo sio vigezo pekee vya kuoa.
Kama ana uwezo kwanini asifuate utaratibu?
Mbona mnawachukulia poa watoto wa watu?.
Nchi hii wanawake wakiamka, wakasoma, wakawa na uwezo wa kujihudumia wanaume wengi watateseka sana.
Mnachukulia kuoa kama vile ni msaada kwa wanawake...kuoa ni hitaji la kila upande na vigezo na masharti yazingatiwe.
Ukute unasura ngumu kama Wasira eti kisa una vimali ukubaliwe tu?
Au unakuja kama unaenda eti akukubali tu ilimradi una vichenji?
Acha aoeleww na wa ndoto zake kwa afya ya familia yake.
Mac Alpho
Na kwl atuambie acje kuwa analalamika kumbe huo ndo mtaji wake,,[emoji3][emoji3]Mkuu naomba sasa tuwe siriaz kidogo.
Hebu niambie ukweli toka moyoni.
3m ni pesa kubwa?
Pesa yako kubwa kushika mara moja ni kiasi gani?
Huenda ninaweza kukuelewa...
KUwa mkweli
Hehehe km iyo ndo ela yako ya mwxho bhc tafuta tu saiz yako acha kujipigisha kelele kuwa kuolew ni bahat kumbe ubahili umekujaaHaijalishi ni kubwa au ni ndogo ila siwezi kutoa mahari ya milion 3. Hata kama angekuwa bikra
Pesa nitakayotoa ni mwisho laki 7 tofauti na hapo akatafute mwanaume mwingine wa kumuoa.
Sitoi hata niwenayoUnatoa na bado unapigwa tukio. Unakuta anagegedwa kwenye kitanda chako.
Au unalea watoto siyo wako ukidhani ni wako. Haya maisha bhana.
Hata niwe nayoUtatoaje wakati huna mkuu! 🤣🤣🤣
WatoeKwasababu huna wenye nazo wanatoa
Oya tulia😅😅😅😅 kanijibu kule😁Umetoaga ngapi?😂😂😂
Kuna mwamba mmoja walimfanyia hivyo,binti akiwa mjamzito,jamaa alitaka kwenda kuposa,wakamwambia fine 200,000 na posa 200,000,jamaa akastuka akajipinda jamaa akapeleka laki 3, wazazi wa Binti wakawa wakali,wakadai wapewe laki moja iliyobaki,na wakampa mkeka wa mahari 3M ,jamaa alilipa,ila baada ya hapo ile ndoa iliota mbawa kwani uliibuka uhasama na kulipiziana visasi.so kuweka mahari kubwa au kumkomoa mwanaume sio ufahari,ni ujinga na kutokuelewa nini maana ya Ndoa, Ndoa ni undugu,mtu anapokuja kuoa kwenye familia yako huyo ni sehemu ya ndugu yako,ikifungwa ndoa atahusika kwenye mambo yote yanayotokea kikeni au kiumeni.Kwa tetesi ninazozisikia ni kuwa ili mtoto aolewe inatakiwa mahali ya Tsh. Milioni tatu 😂😂😂😂
Kama hamna hela au hauna hela ya kulipa muacheni Binti wa watu, fuateni taratibu zinazotakiwa na ninampingeza huyo Binti kwa msimamo mwenye Nia nae atafuata taratibu zote KINYUME na hapo subiri ndoa ya uji kabla ya Ramadan
🤣🤣sio ufahariWatoe
Waislamu Binti ndo hupanga Mahari!Huyo mwanaume si aende ukweni awasikilize?;tangu lini binti akapanga mahari bila wazazi na ndugu wengine?
Halafu huyo mwanaume ye anatakaje kwani? Sogea tukae?
Wanawake wanacho tafuta ni Ile heshima ya kuolewa kihalali HARUSI..
KUNA NDOA NA HARUSI HAYA NI MANENO MAWILI YENYE MAANA TOFAUTI
Unaweza kuolewa harusi Kwa mbwembwe nyingi na ndoa isidumu....
Mwingine akatoroshwa na ndoa wakadumu mpk uzee
Huyo mwanaume si aende ukweni awasikilize?;tangu lini binti akapanga mahari bila wazazi na ndugu wengine?
Halafu huyo mwanaume ye anatakaje kwani? Sogea tukae?
Wapi dogo?🤣Oya tulia😅😅😅😅 kanijibu kule😁
Naona kama huyo mdada hajavutiwa Kimapenzi na huyo jamaa anataka kumuoaKajijenga wapi,Hana maadili anataka kumchukua binti wa watu akaishi naye kihuni 🏃binti kastuka
Sasa mtu hajamridhia anataka kufosi kumuoa,halafu baadae wakianza kummegea aje na nyuzi jf kuja kutukana wanawake woteNaona kama huyo mdada hajavutiwa Kimapenzi na huyo jamaa anataka kumuoa
Mdada asipompenda Mwanaume ana tabia ya kuweka masharti mengi, kabla ya kuolewa au kutoa papuchi.
Women make rules for beta males, but break rules for alpha males, eti Ooh i don't sex on first date/i don't kiss on first date/mpaka umuoe ndo akupe nyapu, ukitaka umuoe ufanye harusi ya gharama x, oh Niko busy, fanya hivi fanya vile ndo upewe papa, masharti kibao ka ya mganga
Angekuwa mdada mwenye upendo na huyo mwanaume, angemuuliza mumewe to be ana uwezo wa kutoa mahari ya tshs ngapi, najua laki 5 ya mahari haimshindi huyo jamaa, harusi sio lazima, mnaenda kanisani 20 people wazazi na ndugu pande zote mbili, mbele ya mchungaji mnabariki ndoa, mkirudi nyumbani pilau Ndizi kuku na soda Zinawasubiri, Harusi imeisha hiyo Melki the Storyteller Ironbutterfly scolastika amadala
Muoaji afuate utaratibu unaopaswa hata kwenye Biblia Jacob alifanya kazi kwa Laban miaka 7 Ili ampate Rachel, vijana wa siku hizi mnarahisisha Kila kitu kina protocol na baraka zake kutoka kwa wazazi.Naona kama huyo mdada hajavutiwa Kimapenzi na huyo jamaa anataka kumuoa