American muscle inauzwa bei gani?

Kwa Tanzania mkuu utaliendesha wapi,maana ladha ya hiyo gari upate mahali pa kujiachia...
 
Labda kwa mapenzi tu ila yana 8 cylinders na wese la uhakika halafu pana sana kwa njia zetu na parking pia
Bei zake zinategemea na aina ya gari na umri pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…