American muscle inauzwa bei gani?

American muscle inauzwa bei gani?

SignerTze

Member
Joined
Mar 31, 2021
Posts
6
Reaction score
5
Hv jamani nilikiwa nauliza hiv american muscle ina bei gani.in tanzania shilings.na je hunu tanzania ipo
bc3700dfd47d7e940862eed311f18b0b.jpg
 
Kwa Tanzania mkuu utaliendesha wapi,maana ladha ya hiyo gari upate mahali pa kujiachia...
 
Labda kwa mapenzi tu ila yana 8 cylinders na wese la uhakika halafu pana sana kwa njia zetu na parking pia
Bei zake zinategemea na aina ya gari na umri pia
 
Back
Top Bottom