American muscle inauzwa bei gani?

American muscle inauzwa bei gani?

Wabongo hawayawezi. Cheki hyo 7.2l v8. Sasa si balaa hilo unakua unatembea na kafuso kadogo
1971_Jensen_Interceptor_MkII%2C_front_left_(USA).jpg
 
Kuna yale ya dizaini hii yananesa nesa sana huwa nayaona kwenye video za kina Rick ross na wenzake.
Hivi yale huwa ni kweli yanadunda dunda vile? Je wamefunga nin mpaka yanakuwa vile?
 
Kweli yanadunda in real life.
Yale ma Lowriders, have the Hydro's (hydraulics), has a function in raising the car so it doent hit any bumps and make it bounce up n down. Wale jamaa wa hip hop ndio wanapenda ku customize hivyo magari yao.
 
Ila life la America bana 😀
 
Back
Top Bottom