Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Bank nyingi zinatoa 5.7-6% kwa hicho kiasi kwenye fixed depost.Mama yangu mkubwa amestaafu na kupewa milioni mia moja. Amechukua milioni 20 na kugawia watoto pamoja na kurekebisha nyumba yake kwa maana tayari alikuwa amekwisha jenga. Sasa amebaki na milioni 80 alikuwa anataka kuziweka bank ili asizitumie vibaya.
Alikuwa anataka bank iwe inamlipa kiaso cha 700,000 kila mwisho wa mwezi kutoka katika hiyo milioni 80 yake. Je kuna bank hapa Dar inatoa huduma hiyo. Hataki kufungua biashara nyingine kwa maana tayari anayo mabucha mawili ya nyama Ubungo na Sinza.
Msaada please.
Dimond Trust Bank wanatoa 5.7% maana yake ni kwamba atapata kwenye 380,000 kwa mwezi.