Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Aisee kama ndio elimu inatakiwa kutukomboa kwa style hii tuna kazi sana kama taifa yani mzee ata awe na hela kiasi gani mwisho wa siku lazima asurrender kwa mtu au watu anaowaamini lets say mzee kafika umri ata kwenda chooni hawezi au kumbukumbu zinapotea kuna mengi sababu ya umri vitamshinda kufanya the logical behind ni kuwezesha hawa unaowaamini wakusaidie kwenye uzee wako full stop izo nyingine ni mbwembwe tu na uchoyo.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Tunatunza mzee wetu amegonga 82 sasa hela yake alinunua hisa za NMB na Alijenga nyumba zake 2 za kupangisha zinamsaidia sana kwenye matibabu, kupata diet nzuri safari za kuja dar kwenye checkup kila baada ya miezi 3 au 4 na kumlipa mwangalizi wake na huduma zingine.
Siku akiondoka amesha andika wosia wake vile fedha yake na mali zingine zitakavyo gawanya
Sidhani kama familia ingeweza kugharamia hayo yote kama na yeye angekuwa kapuku, tunaona familia nyingi jinsi wazee wanavyoteseka kwa kukosa ungalizi na inakuwa mbaya zaidi kama mzee hakuwa amejiweka sawa suala la kiuchumi.
Angefanya ujinga huo unausema wewe sidhani kama angefikia hapa alipotamani kufika.