Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Watanzania Tushukuru sana Mungu kuingilia Kati hii vita.
Nimekua nasema humu Kila Mara, Uhai wa Kisiasa wa Samia na genge lake, utahitaji kuendelea kuwepo Kwa Matukio ya Utekaji na Mauaji
Kwanini??.
Kwa sababu Watanzania wa Sasa sio wa miaka ya 1990 ,wanajua wanachokitaka hivo wangeendelea kuyakosoa.
Na Kwakua Hakubali kukosolewa, Baaasi, watu wangeendelea Kutekwa na Kuuwawa !!.
Hakika Kuanzia 2026 Watanzania wangeishi kama Digidigi Ndani ya Nchi yao.
Mpaka kufikia muda huu Tanzania 70% , Samia na genge lake 30% .
Hawa wahuni wameshashindwa Wakuu, wanachelewesha tu Anguko lao ambalo ni hakika ila Hawatoboi .