Ametekwa aliyeimba 'Wajinga ndio watatiki' - Kadiri Ukosoaji utakavyoedelea, Ndivyo watu wataendelea kutekwa!

Huyo aliyesema wajinga watatiki anatakiwa "kupotea" moja kwa moja!
wow natamani tukutane uso kwa uso with no any equipment,I real admire people who want 'smoke'!! I real want it.Yeah man 'hand to hand combat' will be nice.Many of you are not real men you are just piece of sh**t just mnabebwa..
 
If you were that kind of a man, you would have already done it. But since you're just a keyboard warrior (ahahahahaha) I'll let it pass!
 
I thought you had guts but You don't.You are just threating people to be killed because of their opinions but you haven't killed even a hen.I challenged you for a hand to hand combat and you start shit..@yourself🤣🤣🤣🤣🤣
 
Suppose I agree.
 
Karma itafanya kazi, pia tusubiri Novena ila ikibidi watu waamke haya matekaji yatamaliza watu, hata vitu vya kijinga mtu katekwa aiseeee yaani wameshaona kupoteza uhai wa mtu aliyeumbwa na Mungu ni mchezo sio?
 
Watanzania Tushukuru sana Mungu kuingilia Kati hii vita.

Nimekua nasema humu Kila Mara, Uhai wa Kisiasa wa Samia na genge lake, utahitaji kuendelea kuwepo Kwa Matukio ya Utekaji na Mauaji

Kwanini??.

Kwa sababu Watanzania wa Sasa sio wa miaka ya 1990 ,wanajua wanachokitaka hivo wangeendelea kuyakosoa.

Na Kwakua Hakubali kukosolewa, Baaasi, watu wangeendelea Kutekwa na Kuuwawa !!.

Hakika Kuanzia 2026 Watanzania wangeishi kama Digidigi Ndani ya Nchi yao.

Mpaka kufikia muda huu Tanzania 70% , Samia na genge lake 30% .

Hawa wahuni wameshashindwa Wakuu, wanachelewesha tu Anguko lao ambalo ni hakika ila Hawatoboi .
We kichwa chako kimejaa mavi hakuna asiyekujua
 
Heading na content vt tofauti, we umebanwa na mavi nenda kaharishe
 
Yaani Nchi yetu sasahivi kutekana na kuuwana imekuwa jambo lakawaida kabisa hii ni hatare

..wanaotekwa na kupotezwa ni wapinzani, wakosoaji, na wanaharakati.

..hao ndio wakipatwa na masaibu Polisi hawachunguzi.

..lakini Ccm wakipatwa na matatizo Polisi hutimiza wajibu wao na kuwashughulikia wahalifu waliohusika.
 
Habari ya kichochezimkikamatwa mnalalamika na Serikali !!!

Unaleta Habari Fake kumchonganisha. Kiongoz wa nchi kama ndio mmetumwa na kina novida bado jiongeze kijana Serikali inamkono mkubwa 💪💪💪!!

Ulichofanya ww ukifanyiwa ww pia utataka kumkamata mtenda ilo jambo ili kajua katumwa nanani!!
 
Back
Top Bottom